Mwanaume kumtawaza mtoto ni sawa kweli?

Tatizo lako wewe ndio una mawazo yako mengine tena si mazuri kbsaa, kumtawaza mtoto wako/mdogo wako n kitu cha kawaida kbsaa
 
Hizo kufua ,sijui kupika hiyo kawaida mimi nazungumzia suala la kumtawaza yani baba unamuingiza vidole kweli mtoto wako ili umsafishe ,inaingia akilini kweli hiyo?
Sasa HR ukishindwa kumtawaza mtoto ambaye ametoka kwenye your own PENIS,watakuja wahuni wamtawaze na kumtia hadi vijiti kabisa
 
Wanangu nawatawaza vizuri tu,huna mtoto wewe,kwanza makaka poa mnazaa kwani?
 
Mkuu wangu HR 666 ukiambiwa kumuogesha mtoto ujue hata kutawaza kupo mumo kwa pale. Ukiwa na mtoto /watoto ni baraka sana. You have to pray and do the possible ways uwe baba, hutojuta hakika!
 
We jamaa huwa ni mjinga sana! Shida iko wapi maana ya kuwa mzazi ni nini stupid.
 
Khaaa..! yani unaweza kuwaza ujinga kuhusu mtoto kweli.?
 
Namshukuru Mungu viroba vimepigwa marufuku!usikute jitu kama hili lilifaidika na mkopo wa elimu uliotokana na kodi yetu!hasara tupu...kwa familia....ukoo...nchi!
 
Du!hivi mashoga huwa mnazaa kweli?mwana ulivyoandika nahisi unaliwa
 
Mbona sawa tu halafu mi mwanangu wa kike akipoo anapenda kusafishwa na baba yake. Ni jukumu la mzazi kuhudumia mtoto.
 
HR we baba yako hakuwahi kukutawaza?
 
Jamani kwani shida ninini?kumsafisha mtoto kweli sio haki...Je mamayake kama hayupo nimuachetu!!!mpaka mama arudi!!noooo
 
Daaah.....HR 666 una niangusha na hii thread yako bhana... Ukikua utajua kama ni sawa mwanaume kumtawaza mtoto au sio sawa.

Mimi nimetawaza wadogo zangu wa kike na wakiume.... Soon nita tawaza watoto wangu pindi mama yao atakapo toka na mtoto kajisaidia. Mfano Baba kusafiri na mwanao kwenda kijijini kati Kati ya safari mtoto anataka kujisaidia utamwacha??
 
Nyie wanaume acheni ubinafsi mbona nyie mlitawazwa na wadada wa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…