miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
Tatizo lako wewe ndio una mawazo yako mengine tena si mazuri kbsaa, kumtawaza mtoto wako/mdogo wako n kitu cha kawaida kbsaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli akikua ataacha hayo mawazoIs just Boywood
Wakati utafika ataelewa
nimemsameheChonde chonde mama.
Namuombea msamaha
Sasa HR ukishindwa kumtawaza mtoto ambaye ametoka kwenye your own PENIS,watakuja wahuni wamtawaze na kumtia hadi vijiti kabisaHizo kufua ,sijui kupika hiyo kawaida mimi nazungumzia suala la kumtawaza yani baba unamuingiza vidole kweli mtoto wako ili umsafishe ,inaingia akilini kweli hiyo?
HaswaaaaaaaaaaaTatizo lako wewe ndio una mawazo yako mengine tena si mazuri kbsaa, kumtawaza mtoto wako/mdogo wako n kitu cha kawaida kbsaa
Namshukuru Mungu viroba vimepigwa marufuku!usikute jitu kama hili lilifaidika na mkopo wa elimu uliotokana na kodi yetu!hasara tupu...kwa familia....ukoo...nchi!Wakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume?
Yani ushike kalio la mwanaume mwenzako kweli? Ushike ile anal ya mwanaume mwenzako kweli?
Hii haipo sawa kabisa akina mama hii ni kazi yenu msiwaachie makaka na mababa kazi hii
Nishashuhudia kesi nyingi mtu anamwambia mwenzake "wewe unajikuta mjanja nishakutawaza sana utotoni huniambii kitu hilo kalio lako nimelichezea sana"
Du!hivi mashoga huwa mnazaa kweli?mwana ulivyoandika nahisi unaliwaWakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume?
Yani ushike kalio la mwanaume mwenzako kweli? Ushike ile anal ya mwanaume mwenzako kweli?
Hii haipo sawa kabisa akina mama hii ni kazi yenu msiwaachie makaka na mababa kazi hii
Nishashuhudia kesi nyingi mtu anamwambia mwenzake "wewe unajikuta mjanja nishakutawaza sana utotoni huniambii kitu hilo kalio lako nimelichezea sana"
Kwani wewe ni mwanaume?Mbona sawa tu halafu mi mwanangu wa kike akipoo anapenda kusafishwa na baba yake. Ni jukumu la mzazi kuhudumia mtoto.
HajawahiHR we baba yako hakuwahi kukutawaza?
Utakuwa hujawahi kuambiwaHajawahi