Mwanaume kuomba Msamaha kwa mwanamke

Mwanaume kuomba Msamaha kwa mwanamke

Hao mbwa hawana formula ya kuishi nao, ishi kutokana na hali yako. Hao Mbwa hawajawahi kueleweka vizazi na vizazi.
Lakini msamaha na kujilizaliza sio formula nzuri mkuu.
 
Kikubwa kataa hata kama kakushika. Na ushahidi we kataa.

Mfano umemuinamisha house girl akikufuma kataa kwamba ulikua unamtapisha kama mlikuwa uchi usingizie hata uchawi mwambie sijui imetokeaje upo hapo
Sahii kabisa, Mwanamke anatabia ya kukalili matamshi yako, ukikiri umejimaliza. Hatosahau kamwe
 
Hii tunachukulia katika jamii zetu za kiafrika je, mwanaume unapaswa kumwomba msamaha pale unapoona umemkosea mkeo?

Labda nitoe ni mifano:
Kuna siku mida flan hivi ya jioni natoka job nafika mitaa ya jirani nakuta wife anaongea na msela. Basi bila kuuliza nikalianziisha kata mitama mingi sana wife na kumtuhumu malaya na kumpa kauli nyingi za kumfedhehesha.

Kwanini nilichukua uamuzi huu hiyo baada ya kuona hapo nyuma wife alikuwa busy sana na simu yake pasipo sababu yoyote. Ila sikuhoji sasa mpaka nawakuta na jamaa kwenye mazingira yale nikawa nimeunganisha dot.

Basi nikamtia mkwara na jamaa nakumbuka mke wangu alilia sana yakuwa nampiga bila kosa kwa jinsi alivyokuwa akitoa kilio kama una roho ndogo unamuhurumia nikakumbuka maneno ya taikon.

Usimuonee huruma mwanamke. Basi nakumbuka nilitoa adhabu hakuna mfano. Nikamwambia niombe radhi, wife akajibu siwezi kuomba radhi kwa nisichokifanya. Msimamo wake ulikuwa huo kwa wiki nzima nikasema hapana ngoja nilichunguze hili jambo.

Nakuja kupata majibu kumbe hawana mahusiano ila jamaa alikuwa na mahusiano na rafiki wa mke wangu kwahiyo waligombana na mkewe ila alikuja kwa wife amuelekeze rafiki yake.

Nikamcheki rafiki yake nakuta ananilaumu kwanini umechukuwa uamuzi wa kumpiga mpenzi wangu akanilalamikia sana ila sikujali nikajua ni mchongo. Nikamwambia wife rudi kwenu sitaki nikuone hapa huwezi nichezea picha za ajabu kiasi hiko kweli akakusanya vyake akarudi.

Stori ni ndefu ila end the day nikaja kujua ukweli. Nafsi inanisuta nawaza nikamwombe msamaha au niendelee kukaza ila kwa kumsoma wife bado ananipenda na yuko ladhi kunikubalia.

Ila ishu mimi mwanaume naonekanaje namwomba msamaha mwanamke, ni sahihi wakuu rejea heading[emoji115][emoji115].
 
Umechezewa visakarabosa.

Piga gambe kwa maendeleo ya taifa.
 
Back
Top Bottom