Mwanaume kuomba Msamaha kwa mwanamke

Mwanaume kuomba Msamaha kwa mwanamke

Mkuu ubaya kaanza kutengeneza mazingira ya kuwataka kuwachukua akaishi nao ukichek mi nashinda job watoto ndio hivyo wakitoka shuleni hubaki na mfanyakazi hom na watoto wananikubali mm kuliko mama yao
 
Mkuu ukiomba msamaha m**o inapungua ama. Kuna watu humu mabingwa wa kushauri mabaya. Kama mke wako ana thamani na unapenda kujenga familia kamchukue mwambie yaishe..umekosea. Lakini eti kufata ushauri wa humu utapotea. Kuna watu humu ni washauri kutoka kitengo cha motoni...afu unaweza kuta wako na wake zao na wanawapenda balaa.
 
Hii tunachukulia katika jamii zetu za kiafrika je, mwanaume unapaswa kumwomba msamaha pale unapoona umemkosea mkeo?.
Mke hapaswi kujihusisha na et rafikiake wanatumana mara kalikwenda kakarudi tena ingekua mimi mmmm
 
Binafsi huwa siishi na mwanamke kama dictator, nikikosea naomba msamaha, na yeye akikosea anatakiwa kuomba msamaha, though sitegemei akosee kwenye issue za cheating kwasababu hizo hazina mjadala. ila mimi alishawahi kunifumania na niliomba msamaha tukayamaliza.
 
Mkuu ukiomba msamaha m**o inapungua ama. Kuna watu humu mabingwa wa kushauri mabaya. Kama mke wako ana thamani na unapenda kujenga familia kamchukue mwambie yaishe..umekosea. Lakini eti kufata ushauri wa humu utapotea. Kuna watu humu ni washauri kutoka kitengo cha motoni...afu unaweza kuta wako na wake zao na wanawapenda balaa.
Sawa mkuu nitaacha wangapi? Dunia yenyewe ya sasa
 
Nikamwambia wife rudi kwenu sitaki nikuone hapa huwezi nichezea picha za ajabu kiasi hiko kweli akakusanya vyake akarudi.
Unatakiwa umpigie simu umwambie kesho nakuja kukuchukua turudi nyumbani.

Akileta mahojiano unamuuliza kwani mimi si ndio nimekuambia uondoke na mimi ndio ninakuambia urudi,kesho unaenda kweli kumchukua atarudi tu huyo.

Huo ni msahama wa kwanza umeshaomba baada ya kumfukuza bila kosa.

Msahama wa pili wa kumpiga hadharani utauomba mbele kwa mbele.

Akifika home mtoe out hakikisha watu wanaona ni bora zaidi ikiwa ni mtaa ule ule na hakikisha wife wako anaona kwamba watu nao wanawaoneni mkitoka out mnaenjoy.

Huo ni msamaha wa pili tayari,kisha piga kimya endelea kutimiza majukumu yako kama baba na mume
 
Back
Top Bottom