Mwanaume kutamani kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake

Mwanaume kutamani kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake

Huyo ni Hedonistic person huyo hawezi Kuwa na hela .
Hawezi kuwa genuine love toward other people

Kama MTU anatembea na condoms maana yake huyo ni mgonjwa tayari anatembea na dawa zake mfukoni.


Kumuokoa MTU Kama huyu ni kumfanyia therapy na kumfundisha mambo Kama semen retention.

Maana anaweza kupata Mikosi ambayo itaua destiny yake pia anaweza kupata umeme.

Pia atakosa tija na atashindwa kuwa sipiritual creature while human being is sipiritual creature so just teach him how he can be smarter
Mawazo yako Tu!!
 
Amuone mwanasaikologia amsaidie, ni ugonjwa, sio bure. Ana kaugonjwa kanakoitwa "kichechesism ". Kwa hali hii ataporomoka sana kiuchumi. Wanawake wanajua kutafuna sana pesa, akiona wekundu wa msimbazi hakai mbali nawe.
 
Yeah, kila mwanamke ana utofauti wake - kupata wengi zaidi kabla hujafa ni vzr.
 
Back
Top Bottom