Mwanaume limbukeni

Muongo huyo, pesa hawazitak penzi likiwa bado ni jipya ila likishachanganya zina nafasi kubwa sana ya kulinda penzi.
Ukweli kabisa 100%
Na hapo ushaniliwaza nimeliwazika kwahyo nakua sina pa kwenda lazima nitakuganda na hapo hapo kama hautonipa pia sitajali kwa maana nimekutunuku bila hongo
 
ulimbukeni si kitu kizuri na wala sio sahihi kwa Mwanaume kamili 🐒

hata hivyo wadada wanaupenda mno na wanauamini mbaya sana ulimbukeni wa miongoni mwa wanaume suruali 🐒

na wao,
wanapobaini ukweli baada ya kufanywa kitu mbaya hujuta sana...

Tumuombe Mungu atusaidie kuishi uhalisia wetu, daima tukubali kwamba baadhi ya vitu hatuna au hatuna uwezo navyo.
Na hapo tutaishi kwa Furaha na Amani.
Mungu akubariki sana 🐒
 
Umeongea kwa uchungu m
Umeongea kwa uchungu mkubwa sana. 🚶🚶🚶 Point sana mkuu
 
Tatizo kubwa nililoliona mimi ni kutokujiamini.
Mwanaume anayejiamini hawezi kuwa na dhana hii potofu ya kuamini akikupa ela ndo kamaliza majukumu yake kama Mwenza.
 
Ukweli kabisa 100%
Na hapo ushaniliwaza nimeliwazika kwahyo nakua sina pa kwenda lazima nitakuganda na hapo hapo kama hautonipa pia sitajali kwa maana nimekutunuku bila hongo
Hutojali kivipi wakati utaanza kutafuta wenye pesa?
 
Ela kama ela, ngoja sasa akunyime ela tuone itakuwaje.
Tuseme aninyime ela halafu anijali aniliwaze anibembeleze, linganisha hapo. Ukisema unipe ela kwa dhana kwamba ndio jukumu lako kama Mwenza halafu majukumu mengine umuachie bodaboda utanikuta kesho sipo nimehamia kwa bodaboda nimekuachia ela zako.
 
Pesa tunazitaka Mkuu(kama zipo)
ila kwenye mapenzi pesa haiwezi kuondoa upweke.
Money can't buy Happiness
Having enough money for the basic necessities of life as well as your wants and needs usually means a happier life.
 
Tuseme aninyime ela halafu anijali aniliwaze anibembeleze, linganisha hapo. Ukisema unipe ela kwa dhana kwamba ndio jukumu lako kama Mwenza halafu majukumu mengine umuachie bodaboda utanikuta kesho sipo nimehamia kwa bodaboda nimekuachia ela zako.
Sasa upewe nini ELA au MAPENZI? Chagall moja.
 
Nashukuru MUNGU hayo nilishayapita. Sina habari na hayo makitu. Kama ameamua kuliwa ni mwili wake. Tu nisimpate au nisipate evidence.

Kwamba sijui yuko kazini au nimemuacha home niumie kwamba anaweza akaliwa. Niache kusaka hela. Sina maumivu hayo kabisa. Akidokoa ni mwili wake,mimi napungukiwa nini?. Mbona sisi wanaume ndio wataalam wa viwanja vya ugenini?
 
Tuseme aninyime ela halafu anijali aniliwaze anibembeleze, linganisha hapo. Ukisema unipe ela kwa dhana kwamba ndio jukumu lako kama Mwenza halafu majukumu mengine umuachie bodaboda utanikuta kesho sipo nimehamia kwa bodaboda nimekuachia ela zako.
Umeona hii Leejay49
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…