Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Vifaa vya kukalia maarufu kama viti hahahahahhahaha daa mimi nasoma hii habari mara kwa mara nacheka sana....jamaa anajua sana kupamba story na kusimulia...
jamaa ana kipaji sana sijui kama ana fahamu hili swala....nimecheka sana hii story...kifaa maalum cha kunywea chai hahaha
Lakini mchicha haujawahi kuwa mbuyu.Comments zenu mmh...vibaya hivoo. Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Mnampa changamoto. Subirini itakuja kuwa kama BBC mtashangaa!Lakini mchicha haujawahi kuwa mbuyu.
*AnapakuliwaIla lemutuz nasikia ww ndo unampakua mavi gavana wetu wa mkoa ni kweli?