Hua nashangaa Hawa wanawake wanaoishi na masikini yaani kuna mwanamke alikua kachakaa kapigwa vumbi na mtoto mgongoni anatia huruma anakuja kuniomba pesa Mimi kwakua ananijua ni tajiri mtoto nikimuuliza huna mme akasema anae ila Hana pesa Wala kazi kalala ndani aisee nikamuambia inakuaje na unakua na mwanaume rofa yaani pesa ya kukutunza tu Hana je ataweza kua tajiri kama Mimi ataweza kweli nikampa million 1 nikamuambia aende akafungue biashara na mumewe rofa Ili watunze familia alinushukuru mara Mbili mbili aisee yaani kama ningekua Namtaka ningeshamla Mimi nashauri dada zangu msiolewe na marofa Hawa masikini matakufa na shida zenu sababu hawatobadilika