Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
-
- #21
Tafuta hela wewe mzee utakufa masikini tafuta hela unataka mkeo tumleeOfcz mimi ni mzee 30's ila sikuwahi kuwa mjinga kama hiv nilipokua katika umri wako. Pesa huwa haina kelele inajionyesha yenyewe.
Sawa ila tukubaliane kwanza 28 yrs sio mtoto, sawa tajiri???Tafuta hela wewe mzee utakufa masikini tafuta hela
Debe tupuOfcz mimi ni mzee wa 30's ila sikuwahi kuwa mjinga kama hiv nilipokua katika umri wako. Pesa huwa haina kelele inajionyesha yenyewe.
Mada za kijinga jinga,unajaza server bure.Hua nashangaa Hawa wanawake wanaoishi na masikini yaani kuna mwanamke alikua kachakaa kapigwa vumbi na mtoto mgongoni anatia huruma anakuja kuniomba pesa Mimi kwakua ananijua ni tajiri mtoto nikimuuliza huna mme akasema anae ila Hana pesa Wala kazi kalala ndani aisee nikamuambia inakuaje na unakua na mwanaume rofa yaani pesa ya kukutunza tu Hana je ataweza kua tajiri kama Mimi ataweza kweli nikampa million 1 nikamuambia aende akafungue biashara na mumewe rofa Ili watunze familia alinushukuru mara Mbili mbili aisee yaani kama ningekua Namtaka ningeshamla Mimi nashauri dada zangu msiolewe na marofa Hawa masikini matakufa na shida zenu sababu hawatobadilika
Tafuta hela wewe Mimi ni mtoto mdogo miaka 28 ila pesa zipo nyingi sanaSawa ila tukubaliane kwanza 28 yrs sio mtoto, sawa tajiri???
Acha tumuelikishe, taratibubtu ataelewaDebe tupu
Na debe lililo jaa lipi linalopiga kelele sana?
Sihitaji hela kwenye maisha yangu. Mental case is realTafuta hela
Tafuta hela masikini huwezi kumuelimisha tajiri wakati akili ya kutafuta hela hunaAcha tumuelikishe, taratibubtu ataelewa
Showing off is the FOOLS idea for gloryAcha tumuelikishe, taratibubtu ataelewa
Tafuta helaSihitaji hela kwenye maisha yangu. Mental case is real
Naona kikao kimekuchosha mapema, ajenda hazina mashiko, huyu tuachien sisi tutamnyoosha tuUsiku mwema
Masikini huwezi kumnyoosha tajiri sababu huna pesaNaona kikao kimekuchosha mapema, ajenda hazina mashiko, huyu tuachien sisi tutamnyoosha tu
Acha tumsaidie alielewe hilo, kijana kavamia mtumbwi wa vibwengoShowing off is the FOOLS idea for glory
Tafuta helaHuna kazi nyingine?
Halafu unaweza ukawa na hela ila bado ukawa MASKINI WA KUTUPWAAcha tumsaidie alielewe hilo, kijana kavamia mtumbwi wa vibwengo
Tafuta helaHalafu unaweza ukawa na hela ila bado ukawa MASKINI WA KUTUPWA
Change your mindsetTafuta hela