Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Haya mavijana ya leo yangezaliwa enzi zetu, Revola zingepata sana mimba na Ukimwi.

si ndio nashangaa hommie nimekuita uje ujionee mambo ya "vijana"...na tena kama huna connection na operator wa simu unasubiri mpaka watu wake waishe. gademiit
 

Sawa mkuu,
 
Mbona wote wawili mnateseka
 
Vitu vitatu vya muhimu ktk ndoa

Poleh mpenzi
Ahsante mpenzi
Samahani mpenzi

Samahani neno dogo ilaaa linalainisha sana moyo
Wewe ni binadamu unakosea pia
Samahani haiwezi kuwa inatoka kwa mke tu

No wonder mnuno nyumbani hauishi
 
Uombe samahani hata km hujakosea wewe duuh..hahah
Unaweza omba mtu samahani ingali hujamkosea?.
 
Ukwel mwanaume kuomba msamaha kwa maneno ni udhaifu mkubwa, fanya kuomba kwa matendo ili siyo kwa kujidharaulisha kihivyo
Ndo mana hamuachi kununiwa nyumbani
Samahani uombwe wewe tu inahusuuu?..
 
Yote kisa ya kushindwa kusema tu samahani hehehehe
 
Hehehehe duuuhh kisa chakula tu sio?..
Ulichoweka rohoni kwa huyo mwanamke hujui tu

Imagine leo mtu akupige na utu uzima wako hivyo
 
Unajuaje kama alikufanyia makusudi? Hivi kwanini wanaume mkikosewa na wake zenu mnachukulia kwamba ni makusudi na siyo makosa ya kibinadamu? Huyo mke atakaa kimya hivyo lakini madhara yake unaweza kuyaona baadaye yaani anaweza akaja hata kuwalisha sumu wanao juu ya maovu yako na wanao wakakuchukia

Jaribu kuangalia ndoa nyingi ambazo mwanamke anasalitiwa au anapigwa na mumewe kwa namna moja au nyingine lazima huyo mwanamke atakuja kulipa tu hakuna binadamu ambaye atafanyiwa ubaya halafu akakaa kimya akasamehe tu hivi hivi na asifanye chochote maisha yake yote hayupo

Hata wanawake ni binadamu na hawana mioyo ya chuma na wote tunajua madhara ya kuweka vitu moyoni na wanaume mkae mkijua kwamba hakuna binadamu anayependa kupigwa hata akosee kiasi gani

Kwani wanaume hamkosei na mkikosea ni nani anayewapiga? Narudia tena mmeambiwa muishi na sisi kwa akili na siyo kwa nguvu na biblia imeruhusu mtoto kuchapwa lakini siyo mke hakuna hilo andiko so do it at your own risk and don't blame anyone after the consequences
 
Nyie mnaoapa ndio huwa nawapenda huwa niko simple at first kwamba cpend ugomvi wala makelele kunipayukia ukiona umeshindwa kuishi na mimi sema mapema nikurudishe kabla hujaumia
Wewe huwa hufanyi makosa?
 
Kwahiyo wewe hauna mapenzi kwa mkeo ila unataka mkeo awe na utii kwako?
 
Nani kasema? Hakuna mwanamke anayependa kupigwa halafu wewe unaonekana kupiga ni hulka yako usisingizie kwamba umelazimishwa kwani kila unacholazimishwa lazima ufanye? Kama haukipendi hauwezi kukifanya ila kama unakipenda utakifanya tu hata bila kulazimishwa

Namsikitikia sana mke wako ila sikulaumu maana siyo kila mwanaume aliyeoa anafaa kuwa mume kwenye kila msafara wa mamba lazima na kenge wawemo ndugu yangu ukubali ukatae wewe hauna sifa hata moja ya kuwa mume yaani wewe ni kenge uliyeingilia msafara wa mamba yaani hauna mapenzi kwa mkeo halafu unataka mkeo awe na utii kwako?
 
Hahahahahhh!
 
Uombe samahani hata km hujakosea wewe duuh..hahah
Unaweza omba mtu samahani ingali hujamkosea?.
Yes. Ni vizuri saana dadangu. Hasa kama hupendi maudhi yaendelee. Jishushe tu kama inawezekana.
 
Kabla ya kufikia huko ntakuwa nimeshafanya uamzi unless asirudie lakini akirudia tu sina haja ya kuishi nae
Siishi kwa swaga za biblia au hadithi za haki sawa bali mila na tamaduni za kiafrika japo mimi sio muislam so sitegemei kuwa na mke mja kama wazungu wanavyowaambia ambaye hawezi atambae mbele
Siishi kwa hisia za moyo ila akili mwanamke kwangu ni wa kuzaa na kulea watoto mimi na offer mahitaji kwa return ya utiifu na si vinginevyo,najiandaa na fainali uzeeni mimi kama mm sio kwa kutegemea huruma ya mwanamke au watoto
Hadi mtu anapewa kichapo maanake ni too much lazima nguvu itumike ikishindikana nabwaga manyanga,nafasi ya kubembeleza mwanamke sina mara kadhaa huwa nasema ukiona yamekushinda jikatae kabla sijakukataa mimi
 
Wewe deka zingua ili ubembelezwe,wenye sifa za kiume ni hao mnaosuka wote nywele,sikuhizi wanatombwa nyuma
Kazi ya mke kwangu ni kuzaa huwezi sepa tena jeuri kama wewe ndo nawatakia,mtu akiona hapendi si anasepa kwao kwani hakuna chakula? Kwa nini ukibali taabu? Wewe povu sana utakuwa single mom umeachika sio bure
 
Kwa niaba ya wanaume wote katika kikao Chetu kijacho tutakutunuku nishani kwa kutuwakilisha vyema
 
Kwahiyo wewe hauna mapenzi kwa mkeo ila unataka mkeo awe na utii kwako?
Kwako mapenzi ni nn? Huna akili wewe mwanamke na mtoto tofauti yenu ni umri tu lakini tabia ni zilezile awe mke,mama,dada shangazi wote mna akili za kitoto
Zingua nikuone afu uzingatie utatii kwa lazima,kwani unavyotandika bakora watoto manaake huwapendi?
Aisee ninakutamani inaonekana wewe ni wale mbaosemaga sijawahi pigwa kwetu sasa mimi ulimwengu ningekufunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…