Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Haya mavijana ya leo yangezaliwa enzi zetu, Revola zingepata sana mimba na Ukimwi.

si ndio nashangaa hommie nimekuita uje ujionee mambo ya "vijana"...na tena kama huna connection na operator wa simu unasubiri mpaka watu wake waishe. gademiit
 
Hapana siyo kweli hakuna mwanamke asiyependa kuombwa msamaha hiyo ni mitazamo tu ya kijamii na kuomba msamaha siyo udhaifu bali pia ni agizo hata kwenye maandiko kila binadamu inatakiwa aombe msamaha pale alipokosea tena aombe msamaha kwa maneno na siyo kwa vitendo

Sawa mkuu,
 
huo uanaume wa darisalam nishaukataa.

wife akininunia au akanipa story za ajabuajabu huwa nanyamaza tu na sibishani nae. nikimuongelesha Mara tatu hajibu huwa natoka nyumbani naenda kitaa nalala huko, naunga hadi kazini.

nikirudi nyumbani saa9 hakuna msosi na haniongeleshi narudi tena, na kibegi changu cha nguo za kubadili hadi kesho yake tena. kuna kipindi nilifanya hivyo wiki nzima.

akiniongelesha tu ndo namvutia chumbani tunaweka heshima na kumdanganya danganya.

kwa nini nafanya vile?

nilipomuoa 2007 alikuwa kila mwezi ananyamaza kwa siku, nikawaza kulikoni hadi nikahisi ana tatizo la akili... kumbe analenga mshahara utoke nimkabidhi. maringo yalikuwa tar 27, siku ya mshahara tunaenda nae wilayani na phoenix yetu tumebebana.

ulipoisha mwaka nikamzoea nikaanza kuwa mwanaume na uvulana ukaisha. kipindi kile hata shamba sikutaka alime, lakini now anashinda shamba.

narudia, siwezi kubembeleza... hata mwaka unaisha.
Mbona wote wawili mnateseka
 
Usifanye kosa kukiri kosa mbele ya mke wako na kumuomba msamaha wazi wazi......huo msamaha utakua wimbo wa kila siku atakua anakukumbusha kila unapo kosea kidogo na pia atasimulia wazanke kama alivo kushika na kukusamehe.........mimi naseme hivi, mke wangu hata akinifumania ntakataa kata kata....sikua mimi, namimi najishangaa kua hapa, kuna mtu anatuchezea mke wangu.....hapo ntamletee na zawadi nono kama alikua na endesha ist nta mnunulia Rv4 single doar hilo litaisha hamna mkati mgumu ndani ya chai......
Vitu vitatu vya muhimu ktk ndoa

Poleh mpenzi
Ahsante mpenzi
Samahani mpenzi

Samahani neno dogo ilaaa linalainisha sana moyo
Wewe ni binadamu unakosea pia
Samahani haiwezi kuwa inatoka kwa mke tu

No wonder mnuno nyumbani hauishi
 
Hii tunaiita Psychological punishments.

Kuiepuka hii inakubidi uwe mwanamke mnyenyekevu, ukishagundua umekosea omba msamaha hata kama hujakosea wewe.

Mwanaume siku zote anapenda kunyenyekewa kama mfalme ndani ya nyumba.
Na hapo ukichelewa unawezakuta anapunguza maumivu yake juu ya kifua cha mwanamke mwingine tena kama hivyo hamjaoana.

Tatizo la ke wengi wameingiwa na mfumo wa usawa na kuona unyenyekevu ni kujishusha thamani.

Inaonekana hupendi mifarakano inayodumu. Ila uwe unawahi kuomba msamaha. Long distance relationship mkikorofishana ni vyepesi kusambaratika, bora hata mngekuwa mnaishi pamoja anaingia na kutoka unamuona.
Uombe samahani hata km hujakosea wewe duuh..hahah
Unaweza omba mtu samahani ingali hujamkosea?.
 
Ukwel mwanaume kuomba msamaha kwa maneno ni udhaifu mkubwa, fanya kuomba kwa matendo ili siyo kwa kujidharaulisha kihivyo
Ndo mana hamuachi kununiwa nyumbani
Samahani uombwe wewe tu inahusuuu?..
 
Niliwahi kumpoteza ninae mpenda sna kwa style hio

Tuliachana kwa maumivu makali mno hadi kila mmoja akamchukia mwenzake ni miaka 5 sasa ila bado maumiv yamesalia

Naamin wote tunajutia kwani tulipendana sna tena sana kutokana na mazingira tulijikuta tunashindwa kujishusha na mioyo yetu ilijaa chuki kubwa sna siku hadi siku miongoni mwetu

Natamani hata sku moja nipate nafasi ya kumwambia i am sory i was wrong but its too late

Sijui hata anaishi dunia gani tena , we acted as we are dead and reborn in another world
Yote kisa ya kushindwa kusema tu samahani hehehehe
 
Tabia hiyo nimeiona kwa wife pia sasa huwa natamani kubwaga ila watoto ni wadogo nawaonea huruma but nachofikiria naoa mwanamke mwingine simuachi ili nilee watoto coz hiyo ya kuondoka inaleta gharama unnecessary
Hivi juzi tulizinguana hakupika mchana nikapotezea nikarudi jioni Kala hajaweka msosi,nikasema nyumba yangu afu anizingue,nikatoa Mikanda kwenye suruali nikampa ya mgongoni makalioni kaamka achukue nondo ilikuwepo room nikamuwahi wakati tunagombezana eti ananipiga kichwa duu nikasema huyu kumbe anabipu,,nilimbamiza ukutani hajakaa sawa alikula mtama chini nikampa vibao akasanda akasalia kulia
Nikasema amka eti anaamka akala mateke ya mikono hoi nikachukua Mikanda upande wa chuma alikula hadi akaumia mgongoni chuma zilipalua ngozi nikasepa hapo ni saa tatu na ucku
Kesho nikarudi kapika sikula eti Kalala kwenye godoro tofauti na mimi nikamuacha narudi jioni kapika nikala hadi saizi heshima
Hehehehe duuuhh kisa chakula tu sio?..
Ulichoweka rohoni kwa huyo mwanamke hujui tu

Imagine leo mtu akupige na utu uzima wako hivyo
 
Hicho kibaya labda nisinzie anivizie,amekula mbata na mambo yanaenda na papuchi kama kawa
Wanawake huwa wanatabia ya kutest mitambo kwamba yuko mahali sahihi? Ndo akili zenyewe hizo unatakiwa kung'amua lengo mapema
Eti ananitisha mwenyekiti ananiita nikakausha mara mwenyekiti ananiita kwa mara ya mwisho nikamtolea uvivu kwamba wote na mwenyekiti mtachezea kichapo na akakuoe kama mnapendana,kukawa kimya hadi leo hii maisha yanasonga so mm huwa sina lugha laini kwa mwanamke anayenifanyia kusudi ili aone itakuwaje
Unajuaje kama alikufanyia makusudi? Hivi kwanini wanaume mkikosewa na wake zenu mnachukulia kwamba ni makusudi na siyo makosa ya kibinadamu? Huyo mke atakaa kimya hivyo lakini madhara yake unaweza kuyaona baadaye yaani anaweza akaja hata kuwalisha sumu wanao juu ya maovu yako na wanao wakakuchukia

Jaribu kuangalia ndoa nyingi ambazo mwanamke anasalitiwa au anapigwa na mumewe kwa namna moja au nyingine lazima huyo mwanamke atakuja kulipa tu hakuna binadamu ambaye atafanyiwa ubaya halafu akakaa kimya akasamehe tu hivi hivi na asifanye chochote maisha yake yote hayupo

Hata wanawake ni binadamu na hawana mioyo ya chuma na wote tunajua madhara ya kuweka vitu moyoni na wanaume mkae mkijua kwamba hakuna binadamu anayependa kupigwa hata akosee kiasi gani

Kwani wanaume hamkosei na mkikosea ni nani anayewapiga? Narudia tena mmeambiwa muishi na sisi kwa akili na siyo kwa nguvu na biblia imeruhusu mtoto kuchapwa lakini siyo mke hakuna hilo andiko so do it at your own risk and don't blame anyone after the consequences
 
Nyie mnaoapa ndio huwa nawapenda huwa niko simple at first kwamba cpend ugomvi wala makelele kunipayukia ukiona umeshindwa kuishi na mimi sema mapema nikurudishe kabla hujaumia
Wewe huwa hufanyi makosa?
 
Hakuna kitu rahisi kama kuoa siku hizi wanawake ni walewale ko ni kuvuta tu na kuweka ndani tena mahari tutadaiana watu wanafurahi kupata heshima
By the way sinaga mwanamke mmja na nilitoka zangu ucku na nikaenda kwa manzi nikalala huko na mzigo nikala nikarudi saa moja ucku ckupiga cm Wala sms,binafsi nilishakataa kuwazia wanawake yaani niache kusaka pesa niwaze mwanamke kuwa xriac kidogo,huwa nawaza watoto tuu sio mwanamke hata angekuwa mzuri kama kleopatra hii sio ishu kwangu
Na kitu wanawake wanakosea kudhani upendo wa mwanaume ni papuchi kwangu hapana hiyo ni means ya kufikia lengo tu na ilikufanya unanionyesha staili ntakuuliza coz hii ulihitimu wapi tayari ntajenga hisia kwamba wewe ni malaya ntaku treat kimalaya malaya
Kwahiyo wewe hauna mapenzi kwa mkeo ila unataka mkeo awe na utii kwako?
 
Aya acha wawapende lakini uje ujaribu kumzingua kidogo uone reaction yake,mwingine analia yaani mbele ya mwanamke huu ugentleman cjawahi
Mm nmeshuhudia mara kadhaa jamaa kapiga mwanamke mara nyingi tena kamuumiza lakini hawaachani watu wanasema hao wako hivyo hivyo waache watapatana hadi serikali za mitaa wamewachoka ko upendo uko wa staili mbalimbali kwani hamkuwahi soma utafiti kwamba wanawake wanaamini mwanaume asipokupiga hakupendi? Wanawake wanapenda kupigwa wakati wanaume hatutaki ila tunalazimishiwa tuu
Nani kasema? Hakuna mwanamke anayependa kupigwa halafu wewe unaonekana kupiga ni hulka yako usisingizie kwamba umelazimishwa kwani kila unacholazimishwa lazima ufanye? Kama haukipendi hauwezi kukifanya ila kama unakipenda utakifanya tu hata bila kulazimishwa

Namsikitikia sana mke wako ila sikulaumu maana siyo kila mwanaume aliyeoa anafaa kuwa mume kwenye kila msafara wa mamba lazima na kenge wawemo ndugu yangu ukubali ukatae wewe hauna sifa hata moja ya kuwa mume yaani wewe ni kenge uliyeingilia msafara wa mamba yaani hauna mapenzi kwa mkeo halafu unataka mkeo awe na utii kwako?
 
Hahahahahhh!
Kwenye mahusiano ya boyfriend na girlfriend au mahusiano yoyote yale lazima kunakuwepo na kuhitilafiana kwa hapa na pale

Linapokuja suala la kugombana ya wawili hao kinachofuata ni kusuluhishana mambo yaishe mapenzi yaendelee

Kunapotokea ugomvi wa kimahusiano sio siri sisi wanawake huwa tunaumia sana,na huwa tunapenda mahusiano yazidi kuwepo hasa kama uliyenaye ni yule wa moyo wako

Katika hali hiyo tunategemea mwanaume amuonyeshe mpenzi wake pamoja na kugombana bado anampenda na anampenda sana

Hapa tunamtegemea mwanaume baada ya kugombana,baada ya SAA moja mwanaume atakuwa na jukumu la kuweka mahusiano sawa,kwa kumtumia text za hapa na pale,za kumbembeleza mwanamke hata kama mwanamke ndo alikuwa na makosa,haijalishi nani kaanzisha ugomvi ila mwanaume ana jukumu kubwa la kuweka mahusiano sawa

Kwa sasa hali imebadilika sana kwa hawa wanaume,mnagombana,mnamaliza hata siku mbili hakutumii text,wala kukupigia sim,na kama mwanamke ataendelea kupiga kimya,kinachofuata ni mwanaume kuanza kuweka picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo hazieleweki,mara aweke za mwanamke fulani,mara aweke za wanawake na status kibao,au akae online muda mrefu ambapo si kawaida yake

Unabaki unajiuliza ina maana mahusiano yameisha,mbona sielewi,mapicha picha ya nini tena

Ukweli ndo huu,tunapogombana na ukamaliza masaa 2 bila kutuma sms au kupiga sim hata kuulizia kitu fulani,yaani huwa tunaumia sana

Na kama tangu ugomvi yamepita masaa 5 hujatuma sms, huwa tunahisi kuchanganyikiwa,sms inaingia unadhani ni baby kumbe za watu wengine au mitandao maumivu huwa yanatuzidi

Nyie wanaume acheni kuwatesa wawapendao,hamjui tu tunavyoumia

Ndo maana muda mwingine unasema bora usiwe kwenye mahusiano

Tubembelezeni basi baada ya ugomvi,hata kama sisi ndo wakosaji au hata kama ni nyie wakosaji
 
Uombe samahani hata km hujakosea wewe duuh..hahah
Unaweza omba mtu samahani ingali hujamkosea?.
Yes. Ni vizuri saana dadangu. Hasa kama hupendi maudhi yaendelee. Jishushe tu kama inawezekana.
 
Unajuaje kama alikufanyia makusudi? Hivi kwanini wanaume mkikosewa na wake zenu mnachukulia kwamba ni makusudi na siyo makosa ya kibinadamu? Huyo mke atakaa kimya hivyo lakini madhara yake unaweza kuyaona baadaye yaani anaweza akaja hata kuwalisha sumu wanao juu ya maovu yako na wanao wakakuchukia

Jaribu kuangalia ndoa nyingi ambazo mwanamke anasalitiwa au anapigwa na mumewe kwa namna moja au nyingine lazima huyo mwanamke atakuja kulipa tu hakuna binadamu ambaye atafanyiwa ubaya halafu akakaa kimya akasamehe tu hivi hivi na asifanye chochote maisha yake yote hayupo

Hata wanawake ni binadamu na hawana mioyo ya chuma na wote tunajua madhara ya kuweka vitu moyoni na wanaume mkae mkijua kwamba hakuna binadamu anayependa kupigwa hata akosee kiasi gani

Kwani wanaume hamkosei na mkikosea ni nani anayewapiga? Narudia tena mmeambiwa muishi na sisi kwa akili na siyo kwa nguvu na biblia imeruhusu mtoto kuchapwa lakini siyo mke hakuna hilo andiko so do it at your own risk and don't blame anyone after the consequences
Kabla ya kufikia huko ntakuwa nimeshafanya uamzi unless asirudie lakini akirudia tu sina haja ya kuishi nae
Siishi kwa swaga za biblia au hadithi za haki sawa bali mila na tamaduni za kiafrika japo mimi sio muislam so sitegemei kuwa na mke mja kama wazungu wanavyowaambia ambaye hawezi atambae mbele
Siishi kwa hisia za moyo ila akili mwanamke kwangu ni wa kuzaa na kulea watoto mimi na offer mahitaji kwa return ya utiifu na si vinginevyo,najiandaa na fainali uzeeni mimi kama mm sio kwa kutegemea huruma ya mwanamke au watoto
Hadi mtu anapewa kichapo maanake ni too much lazima nguvu itumike ikishindikana nabwaga manyanga,nafasi ya kubembeleza mwanamke sina mara kadhaa huwa nasema ukiona yamekushinda jikatae kabla sijakukataa mimi
 
Nani kasema? Hakuna mwanamke anayependa kupigwa halafu wewe unaonekana kupiga ni hulka yako usisingizie kwamba umelazimishwa kwani kila unacholazimishwa lazima ufanye? Kama haukipendi hauwezi kukifanya ila kama unakipenda utakifanya tu hata bila kulazimishwa

Namsikitikia sana mke wako ila sikulaumu maana siyo kila mwanaume aliyeoa anafaa kuwa mume kwenye kila msafara wa mamba lazima na kenge wawemo ndugu yangu ukubali ukatae wewe hauna sifa hata moja ya kuwa mume yaani wewe ni kenge uliyeingilia msafara wa mamba yaani hauna mapenzi kwa mkeo halafu unataka mkeo awe na utii kwako?
Wewe deka zingua ili ubembelezwe,wenye sifa za kiume ni hao mnaosuka wote nywele,sikuhizi wanatombwa nyuma
Kazi ya mke kwangu ni kuzaa huwezi sepa tena jeuri kama wewe ndo nawatakia,mtu akiona hapendi si anasepa kwao kwani hakuna chakula? Kwa nini ukibali taabu? Wewe povu sana utakuwa single mom umeachika sio bure
 
huo uanaume wa darisalam nishaukataa.

wife akininunia au akanipa story za ajabuajabu huwa nanyamaza tu na sibishani nae. nikimuongelesha Mara tatu hajibu huwa natoka nyumbani naenda kitaa nalala huko, naunga hadi kazini.

nikirudi nyumbani saa9 hakuna msosi na haniongeleshi narudi tena, na kibegi changu cha nguo za kubadili hadi kesho yake tena. kuna kipindi nilifanya hivyo wiki nzima.

akiniongelesha tu ndo namvutia chumbani tunaweka heshima na kumdanganya danganya.

kwa nini nafanya vile?

nilipomuoa 2007 alikuwa kila mwezi ananyamaza kwa siku, nikawaza kulikoni hadi nikahisi ana tatizo la akili... kumbe analenga mshahara utoke nimkabidhi. maringo yalikuwa tar 27, siku ya mshahara tunaenda nae wilayani na phoenix yetu tumebebana.

ulipoisha mwaka nikamzoea nikaanza kuwa mwanaume na uvulana ukaisha. kipindi kile hata shamba sikutaka alime, lakini now anashinda shamba.

narudia, siwezi kubembeleza... hata mwaka unaisha.
Kwa niaba ya wanaume wote katika kikao Chetu kijacho tutakutunuku nishani kwa kutuwakilisha vyema
 
Kwahiyo wewe hauna mapenzi kwa mkeo ila unataka mkeo awe na utii kwako?
Kwako mapenzi ni nn? Huna akili wewe mwanamke na mtoto tofauti yenu ni umri tu lakini tabia ni zilezile awe mke,mama,dada shangazi wote mna akili za kitoto
Zingua nikuone afu uzingatie utatii kwa lazima,kwani unavyotandika bakora watoto manaake huwapendi?
Aisee ninakutamani inaonekana wewe ni wale mbaosemaga sijawahi pigwa kwetu sasa mimi ulimwengu ningekufunza
 
Back
Top Bottom