Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Yamekuja kwa kutaka uhuru kudekezwa na kubembelezwa kinyume na mila za kiafrika unazoziita zimepitwa na wakati
Kwahiyo mwanamke ni wa kufokewa na kupigwa tu si ndiyo? Hakuna mwanaume hapa
 
Kwahiyo mwanamke ni wa kufokewa na kupigwa tu si ndiyo? Hakuna mwanaume hapa
Wapo wanakuja,mwanamke zaidi ya **** una nini kingine,huoni toka enzi za yesu hamna thamani yoyote zaidi ya kuzaa tuu
 
Kama hukasiriki mapovu na kupatuka kwa nini? Atekenywe mwingine ucheke wewe nyege mshindo kama hizo ndo angezitoa mvulana wako sasa ili uje kumsifia hapa
 
aisee munanifurahisha. naomba comment zile fupi fupi, tusiumizane macho. asanteni sana . mie wenu mkrugenzi wa kitengo cha kusoma comments.
 
Umesema hauamini biblia halafu unanukuu maneno kutoka kwenye biblia hauwezi kukwepa maandiko mbuzi wa hitima wewe Mungu hajaruhusu umalaya fala wewe hakuna cha tamaduni wala nini
We kweli tetea maneno ya hivyo yako kwenye elimu dunia ya saikolojia fisi jike wewe hujui kitu,hata kama yako huko maarifa yanachukuliwa popote hadi hekima za kihindi au kichina nasoma nachukua nachoona kinanifaa
Narudia tena wewe ni matokea ya kile unachofikiria na kutamka
 
Ukifanikiwa kumbembeleza mwanamke alie kasirika au aliekuwa analia zen ukamduu anakua mtamu balaa, kwanza unamkuta kasha loana kitambooo!
 
aisee munanifurahisha. naomba comment zile fupi fupi, tusiumizane macho. asanteni sana . mie wenu mkrugenzi wa kitengo cha kusoma comments.
Mkurugenzi wa CHAWACOTA
Chama cha Wasoma Comments Tanzania😅
 
Hiyo kawaida ya jamii gani? Yaani unategemea kubembelezwa baada ya ugomvi ili iweje?
Eti mtu azingue afu abembelezwe hili wanafanya wavulana na wasichana kwenye u shkaji wao hakuna wanaume wa ndoa wanafanya huo ujinga🤣🤣🤣
 
Eti mtu azingue afu abembelezwe hili wanafanya wavulana na wasichana kwenye u shkaji wao hakuna wanaume wa ndoa wanafanya huo ujinga🤣🤣🤣

Mkuu nimeshangaa aliposema mwanamke abembelezwe baada ya ugomvi hata kama kosa ni lake. Hii imekaaje hii?
 
Eti mtu azingue afu abembelezwe hili wanafanya wavulana na wasichana kwenye u shkaji wao hakuna wanaume wa ndoa wanafanya huo ujinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ukikosea je??
 
Wapo wanakuja,mwanamke zaidi ya **** una nini kingine,huoni toka enzi za yesu hamna thamani yoyote zaidi ya kuzaa tuu
Mbona kuzaa unakichukulia kama ni kitu kidogo na cha kawaida? Kuzaa ni si ni kuleta kiumbe duniani? Kwani wewe ulikuja duniani kwa njia gani? Baada ya Adam na Evah kuumbwa kuna binadamu mwingine aliumbwa tena? Yaani wewe kutafuta pesa na kuhudumia familia unaona ni mzigo sana kuliko wanaobeba mimba na kuzaa?

Tena ukizingatia kuna wanawake siku hizi wanasaidia kutafuta pesa na kuhudumia familia khaa yaani unakidharau kitendo cha kuleta kiumbe duniani halafu unajiita mwanaume hao watoto unaojivunia duniani umewazaa wewe? Wewe si uliwabeba tu kwenye pumbu zako halafu ukawasukumia kwa mkeo? Hebu litamke tena hilo neno KUZAA halafu ulitafakari ndo uendelee kumdharau mwanamke
 
Kama hukasiriki mapovu na kupatuka kwa nini? Atekenywe mwingine ucheke wewe nyege mshindo kama hizo ndo angezitoa mvulana wako sasa ili uje kumsifia hapa
Hapa nimeshaona nabishana na mtu asiyejielewa hebu ngoja nikupuuze wewe endelea kumtesa huyo mkeo maana mimi hainihusu na hata hivyo nilikuuliza wewe unawadharau wanawake kama nani yaani kwa mfano?

Wewe ukiwadharau unawaongezea nini au unawapunguzia nini kwenye maisha yao? Wewe ni nani na una mamlaka gani hapa duniani? Ukishajijibu hayo maswali ndo uendelee kubwabwaja tena maana hata mimi hapa naona napoteza muda wangu tu
 
Kwani wewe unaona kuzaa kuna uajabu gani,ulitaka azae nani? Ingekuwa ni adhabu hivyo hakuna mwanamke angekuwa anarudia kuzaa,kama unadhani kutafuta pesa ni rahisi acha usizae ili usitafute ujihudumie mwenyewe
 
Kwani ukisema hivyo ndo itabadilisha ukweli wa jinsi nilivyo? Wewe ongea jifurahishe tu ila ukweli utabaki pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…