Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kwahiyo mwanamke ni wa kufokewa na kupigwa tu si ndiyo? Hakuna mwanaume hapaYamekuja kwa kutaka uhuru kudekezwa na kubembelezwa kinyume na mila za kiafrika unazoziita zimepitwa na wakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mwanamke ni wa kufokewa na kupigwa tu si ndiyo? Hakuna mwanaume hapaYamekuja kwa kutaka uhuru kudekezwa na kubembelezwa kinyume na mila za kiafrika unazoziita zimepitwa na wakati
Hapana ni weweSio mimi umefananisha [emoji1]
Hapana si mimi [emoji1]Hapana ni wewe
Wapo wanakuja,mwanamke zaidi ya **** una nini kingine,huoni toka enzi za yesu hamna thamani yoyote zaidi ya kuzaa tuuKwahiyo mwanamke ni wa kufokewa na kupigwa tu si ndiyo? Hakuna mwanaume hapa
Kama hukasiriki mapovu na kupatuka kwa nini? Atekenywe mwingine ucheke wewe nyege mshindo kama hizo ndo angezitoa mvulana wako sasa ili uje kumsifia hapaChakula ya mtaani mimi au wewe unayetembeza rungu kwa wanawake tofauti? Eti sifa ya mwanaume ni multiple women malaya wewe toa visingizio vyako hapa kwahiyo kwa akili yako unadhani wewe unaweza kunikasirisha mimi? Khaa mimi nakujibu kutokana na wewe ulivyokuja usitegemee nikujibu kistaarabu wakati wewe umeleta ushenzi punga wewe
We kweli tetea maneno ya hivyo yako kwenye elimu dunia ya saikolojia fisi jike wewe hujui kitu,hata kama yako huko maarifa yanachukuliwa popote hadi hekima za kihindi au kichina nasoma nachukua nachoona kinanifaaUmesema hauamini biblia halafu unanukuu maneno kutoka kwenye biblia hauwezi kukwepa maandiko mbuzi wa hitima wewe Mungu hajaruhusu umalaya fala wewe hakuna cha tamaduni wala nini
Ila kwa kawaida tunategemea mwanaume ndo ambembeleze mwanamke baada ya ugomvi,na sio kujishusha
Mkurugenzi wa CHAWACOTAaisee munanifurahisha. naomba comment zile fupi fupi, tusiumizane macho. asanteni sana . mie wenu mkrugenzi wa kitengo cha kusoma comments.
Eti mtu azingue afu abembelezwe hili wanafanya wavulana na wasichana kwenye u shkaji wao hakuna wanaume wa ndoa wanafanya huo ujinga🤣🤣🤣Hiyo kawaida ya jamii gani? Yaani unategemea kubembelezwa baada ya ugomvi ili iweje?
Eti mtu azingue afu abembelezwe hili wanafanya wavulana na wasichana kwenye u shkaji wao hakuna wanaume wa ndoa wanafanya huo ujinga🤣🤣🤣
Wewe ukikosea je??Eti mtu azingue afu abembelezwe hili wanafanya wavulana na wasichana kwenye u shkaji wao hakuna wanaume wa ndoa wanafanya huo ujinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au siyoHapana si mimi [emoji1]
Chukua hatua unayoona inafaa kukaa kwako kimya hakufanyi nisikushughukukie regardless what,kwani umeona nimeombwa kubembelezwa,kwanza cpend hayo maisha ya kudekezanaWewe ukikosea je??
Mbona kuzaa unakichukulia kama ni kitu kidogo na cha kawaida? Kuzaa ni si ni kuleta kiumbe duniani? Kwani wewe ulikuja duniani kwa njia gani? Baada ya Adam na Evah kuumbwa kuna binadamu mwingine aliumbwa tena? Yaani wewe kutafuta pesa na kuhudumia familia unaona ni mzigo sana kuliko wanaobeba mimba na kuzaa?Wapo wanakuja,mwanamke zaidi ya **** una nini kingine,huoni toka enzi za yesu hamna thamani yoyote zaidi ya kuzaa tuu
Hapa nimeshaona nabishana na mtu asiyejielewa hebu ngoja nikupuuze wewe endelea kumtesa huyo mkeo maana mimi hainihusu na hata hivyo nilikuuliza wewe unawadharau wanawake kama nani yaani kwa mfano?Kama hukasiriki mapovu na kupatuka kwa nini? Atekenywe mwingine ucheke wewe nyege mshindo kama hizo ndo angezitoa mvulana wako sasa ili uje kumsifia hapa
Kwani wewe unaona kuzaa kuna uajabu gani,ulitaka azae nani? Ingekuwa ni adhabu hivyo hakuna mwanamke angekuwa anarudia kuzaa,kama unadhani kutafuta pesa ni rahisi acha usizae ili usitafute ujihudumie mwenyeweMbona kuzaa unakichukulia kama ni kitu kidogo na cha kawaida? Kuzaa ni si ni kuleta kiumbe duniani? Kwani wewe ulikuja duniani kwa njia gani? Baada ya Adam na Evah kuumbwa kuna binadamu mwingine aliumbwa tena? Yaani wewe kutafuta pesa na kuhudumia familia unaona ni mzigo sana kuliko wanaobeba mimba na kuzaa?
Tena ukizingatia kuna wanawake siku hizi wanasaidia kutafuta pesa na kuhudumia familia khaa yaani unakidharau kitendo cha kuleta kiumbe duniani halafu unajiita mwanaume hao watoto unaojivunia duniani umewazaa wewe? Wewe si uliwabeba tu kwenye pumbu zako halafu ukawasukumia kwa mkeo? Hebu litamke tena hilo neno KUZAA halafu ulitafakari ndo uendelee kumdharau mwanamke
Kwani ukisema hivyo ndo itabadilisha ukweli wa jinsi nilivyo? Wewe ongea jifurahishe tu ila ukweli utabaki pale pale.We kweli tetea maneno ya hivyo yako kwenye elimu dunia ya saikolojia fisi jike wewe hujui kitu,hata kama yako huko maarifa yanachukuliwa popote hadi hekima za kihindi au kichina nasoma nachukua nachoona kinanifaa
Narudia tena wewe ni matokea ya kile unachofikiria na kutamka