Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Umekuwa sasa
 
Ugomvi mara nyingi huanza polepole..
Wadada hua mnajisahau sana, wanaume atupendi viburi na majibizano,

Lamsingi ukiona noma ishaanza kuota mabawa, tumieni mbinu zenu ambazo ni built_in za kumtuliza mumeo/mwanaume wako kwa maneno ya upole,

Mkishindana mtaumia nyinyi sisi tunasahau mapema sana
 
Nakupenda Kigori
 
Kuna wanawake wenye gubu kari hatakusemesha hadi mwezi uishe hata ufichi chupi yake......hasa wanawake wa mikoani wanamisimamo mikali sanaa hawana smile au jokes akiamuwa ameamuwa tu
 

Usemalo nilakweli kabisaaa..
Tatizo nyinyi wadada wa dot.com hamjui/kujifunza namna yakuzima ugomvii mnataka kujifananisha na mwanaume, hapo ndipo kisanga huanzia..

Mwanaume hafananishwi na kitu chochote kile sawa na mwanamke vilevile..
Jueni nafasi zenu si kushindana..
 
My dear siku hizi watu wameyafanya mapenzi yamekuwa kitu cha ajabu, hayana thamani tena. Full kuviziana, sijui tuendako.
 
[emoji23][emoji23]
Ila we mtoto!! Unapenda rebound eeh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa stress ya nini, maisha yenyewe mafupi haya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama umeniona vile. Naweza Nuna hata mwezi. Niliachana na mrembo mmoja hivi hivi. Ana kakiburi fulani hivi. Nikakausha na yeye akakusha. Mara wiki mara mwezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikutana na kisiki mwenzio.
Ila mwanaume unanunaje?
 
Mwanaume rijali kabisa hasemi NAOMBA UNISAMEHE! Kwa mwanamke wa jamii yetu unaleta udhaifu ndani ya nyumba.
 
Kuviziana huko vipi lakini dear...
Kama mtu una malengo naye mnaviziana nini eti, mie siwezii kukaa masaa kadhaa menuna nitalia tuu nitanyamaza namtafuta tuongee
Mama si afadhali wewe unaongelea hata ulie na malengo nae, wenzio ni wanandoa kabisaaaa na wananuniana na wanajisifia kununa(tena wanaume[emoji134])

Wengine anakosea yeye halafu anataka uombe msamaha wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…