Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Hii tunaiita Psychological punishments.

Kuiepuka hii inakubidi uwe mwanamke mnyenyekevu, ukishagundua umekosea omba msamaha hata kama hujakosea wewe.

Mwanaume siku zote anapenda kunyenyekewa kama mfalme ndani ya nyumba.
Na hapo ukichelewa unawezakuta anapunguza maumivu yake juu ya kifua cha mwanamke mwingine tena kama hivyo hamjaoana.

Tatizo la ke wengi wameingiwa na mfumo wa usawa na kuona unyenyekevu ni kujishusha thamani.

Inaonekana hupendi mifarakano inayodumu. Ila uwe unawahi kuomba msamaha. Long distance relationship mkikorofishana ni vyepesi kusambaratika, bora hata mngekuwa mnaishi pamoja anaingia na kutoka unamuona.
 
Huo uzuzu ndio si ukubari kabisa, kama nikikosea mimi bado siombi msamaha itawezekanaje akikosea yeye ndio nijiweke kimbelembele kuomba msamaha. Bahati mbaya hata akikosea yeye nachukulia poa tu kaomba au hajaomba msamaha. Kwa kifupi sina kisasi ila sina roho ya kuomba msamaa pia.

Kwa uzoefu mambo yetu huwa yanarudi tu kwenye mstari na tunaishi.
 
Na nynyi pia mnapaswa kuomba msamaha sio kusubili tu kubembelezwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama umeniona vile. Naweza Nuna hata mwezi. Niliachana na mrembo mmoja hivi hivi. Ana kakiburi fulani hivi. Nikakausha na yeye akakusha. Mara wiki mara mwezi.
Khaaa jmn[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Part A:
Wanaume wanaonuna au kukaa kimya mda mrefu ni wale walikuwa wanatafta sababu tu wasepe kushoto.
Au wana vipepo vya kisirani, maana huwezi kumpenda mtu halafu ukamkasirikia mda mrefu (sio mazoea)

Part B:
Wanawake wanapenda kubembelezwa sana ndio maana wanaumia wakipigiwa kimyaa. Hilo linawapa kiburi cha kufanya makosa sometimes ili abembelezwe maana hii kasumba yao wanaifurahia baadhi (ili mradi aone mwanaume anajitahidi kumbembeleza)

ONYO: baadhi ya wanaume wamestukia ndio maana wanapiga kimyaa na kuamua kuwarusha roho mtandaoni ili akili zikae sawa.

NB: kila mtu afanye jukumu lake kwa nafasi yake ili kuepusha mambo yasiyo lazima kutokea kama vile vibuti n.k
 

Hoja zako zipo vema..

La msingi hapa mara nyingi ugomvi hua hauepukikii, lamsingi kama cc2 nikuweka mbinu/namna ya kusolve disputes zetu pale zitokeapo

Mfano mm ukiniletea bia mbili ukasema mume nisamehe shushia hizi mbili ukiwa natabasamu, ugomvi wote unayeyuka..and vice verse
 
Ni mwendo wa kutesa kwa zamu tu,pindi unapomtongoza Demu Mara asijibu SMS, Mara anakata Simu Mara hapokei kabisa sasa kwanini tusilipize!?
 
Ni mwendo wa kutesa kwa zamu tu,pindi unapomtongoza Demu Mara asijibu SMS, Mara anakata Simu Mara hapokei kabisa sasa kwanini tusilipize!?
Mmmm,sijakubaliana,kipindi hicho huwa ni kutafuta usirias wako na akili kukufikiria sasa unapofanya kama kulipiza sio vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…