Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Ww mwanamke kwangu nuna tu hata miaka 200 siwezi bembeleza aisee,hata mtoto siwezi itakua mkubwa,ukizingua nasepa tu,nacheki manzi mwingine.
Ke nyie mnazingua ndo maana upendo toka kwangu ulishaisha,sana sana natumia kanuni ya 1 katika mahusiano kifungu cha 3 a,ambayo inasema (fff) yaani find,https://jamii.app/JFUserGuide and forget.
 
umengea vema sana, tatizo vijana wa sa hv hawana ugentleman..yahitaji ukomavu hasa unakuta binti kazingua kidog umzabe makofiu na unahasira zako...so naelewa hapo baadae unakuwa ushamaliza isseu unamtreat kawaida anakaa sawa

BINAFSI: MI HUWA hasira zangu ni hapo ikipita dakika tano nishasahau issue hata kama we bado utakuwa unalia nayo, mpenzi wangu tulipishana siku njoo huku kapitia njia nyigine nikachukua taxiify kuzunguka nkampata sasa akawa anajifanya anajibu nilimwambia ntakuzibua kibao wewe tena nilikuwa nimemaindi kweli..kuwa na ukimya kidogo kwa gari ..baadae nkamuongelesha tu kikawaida hasira kwa mbali nikisema moyoni shika adabu,...lila akawa kama mnyonge..tukafika tulikoenda nkamaliza issue yangu haraka maan ailikuwa nchelewe baada ya hapo sasa nkawa fresh nilimaliza lengo nkamwambi atukale sasa,,tukaagiza kila mtu anachotaka na picha hapo mahaba niue hao akafurahi akasahau kabisa kama alinuna...so tunatakiwa sisi tuchukue initiative kuwatuliza tukishawapig amkwara au kofi...kuna ka video kamoja mdada anawaka alilimwa kofi k=moja kakka chini kulia jamaa hapo hapo akamkumbatia na kumwambia am the man i make rules i love you sinema ikaisha HAHAHAH
 
SEMA Inategemea kazingua nini kwa kiwwango gani kuna mengine arisu no kubembeleza...in such sio kubebmebelza kiivo akizingua yani unapima...ila mi huwa nabebmbeleza nikiwa kwenye UFISI MODE tehetehe
 
Yeah, kuishi na mwanamke kwa akili kuna mengi humo katikakati. I wouldn't say I'm so sorry directly, lakini kwa matendo yangu utajua nimeomba msamaha na najutia nilichofanya, lakini eti "samahani mke wangu, nisamehe"..teh nah nah!!
HIYO NA MIMI NO, sana sana ataona namuita tu namsemesha kwa upole mahaba namtoa oit ila kutoa neno NISAMEHE sijui
 
HIYO NA MIMI NO, sana sana ataona namuita tu namsemesha kwa upole mahaba namtoa oit ila kutoa neno NISAMEHE sijui
Mwanamke haombwi msamaha aiseee.

Lakini pia mwanamke hanuniwi kabisa..

Mimi wife nikigombana nae alafu baadae nokajua mimi ndo nimekosea hapo natafakari niingie na gia gani.

Naweza kumpigia simu nikaomgea nae mambo mengine kabisa huku nikiwa kama nimepotezea kabisaaa.
Bahati nzuri mimi nina kipaji cha kuchekrsha kidogo,sasa nikimchekrsha nara mbili tatu akifurahi utakuta anasema "lakini baby hujafanya vizuri kile kitendo sio sawa"

Hapo mimi naanza kujitetea alafu mwisho namalizia neno NISAMEHE sisemi NAOMBA NISAMEHE.

Kusema NAOMBA NISAMEHE huo sio uanaume,yani mke wangu alafu nimuombe anisamehe.?

Kunisamehe kwake ni lazima nikikosea,hana hiyari lazima anisamehe kulaleki.

Unatakiwa kusema NISAMEHE hiyo atake asitake lazima asamehe,eti naomba nisamehe ohh
 
Mmmh
 
Mfano tumegombana nikakupigia simu ukanikatia,basi naweza maliza mwaka mzima bila kukutumia hata meseji hewa,siyo kwamba ndiyo nakuwa sikutaki tena no,ila basi tu sitaki kabisa kujishusha hasa kama wewe ndiyo mkosaji.
 
Ukiona hvyo ujue wewe n mchepuko.....binafsi nikigombana na yule nimpendaye kidogo walau huwa naweka mambo sawa faster ila kama ni mchepuko,ukinivuruga ntamute hata wiki yaan,sijisumbui.....so review ur position kama ww n njia kuu au n mchepuko wa huyo jamaa
 
Kwa uzoefu ambao upo Mwanamke anayependa kubembelezwa maana yake anapenda kudeka, hafai kuoa maana ukikutana na mwanaume aliyebize haswa kibiashara utafanya aharibu mambo yake kisa awe anakubembeleza wewe.
 
Mkuu wewe na mimi twafanana kabisa katika hili, mke wangu ni jeuri sana hata kama amekosea huwa hakubali kujishusha zaidi ya hapo atakukalia kimya pengine hata asipike kabisa kama mkosaji ni mimi, miaka ya mwanzo alinipa shida sana maana alikuwa akinuna hata wiki nzima hatuongei ndani,nilifikia hatua ya kumuacha lakini nilipowafikiria wanangu nikaona hapana aisee,basi ikawa tukivurugana ndani akinuna,hanisemeshi natoka kimya kimya naenda kulala hukohuko,tutaonana kesho,nikimkuta amenuna tena narudiko kula nakula hukohuko, narudi nimeoga na nguo nimebadili kabisa,ndani ya miezi mitatu nikawa nimetibu tatizo kabisa visirani vya ajabuajabu vikakoma kabisa.
Leo mwaka wa saba ni nuru tu.
 
Yeah, kuishi na mwanamke kwa akili kuna mengi humo katikakati. I wouldn't say I'm so sorry directly, lakini kwa matendo yangu utajua nimeomba msamaha na najutia nilichofanya, lakini eti "samahani mke wangu, nisamehe"..teh nah nah!!
Ukisema samahani kuna tatizo?
 
Kuna mwanamke huyo,we acha tu
 
Tatizo sisi tuna mademu wengi ukikausha natafuta demu wangu mwingine najipigia ngozi maisha yanaenda
 
Niliwahi kumpoteza ninae mpenda sna kwa style hio

Tuliachana kwa maumivu makali mno hadi kila mmoja akamchukia mwenzake ni miaka 5 sasa ila bado maumiv yamesalia

Naamin wote tunajutia kwani tulipendana sna tena sana kutokana na mazingira tulijikuta tunashindwa kujishusha na mioyo yetu ilijaa chuki kubwa sna siku hadi siku miongoni mwetu

Natamani hata sku moja nipate nafasi ya kumwambia i am sory i was wrong but its too late

Sijui hata anaishi dunia gani tena , we acted as we are dead and reborn in another world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…