Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Hapa nimeshaona nabishana na mtu asiyejielewa hebu ngoja nikupuuze wewe endelea kumtesa huyo mkeo maana mimi hainihusu na hata hivyo nilikuuliza wewe unawadharau wanawake kama nani yaani kwa mfano?

Wewe ukiwadharau unawaongezea nini au unawapunguzia nini kwenye maisha yao? Wewe ni nani na una mamlaka gani hapa duniani? Ukishajijibu hayo maswali ndo uendelee kubwabwaja tena maana hata mimi hapa naona napoteza muda wangu tu
Nawapuuza coz mnasumbua wakati u have nothing to offer,toka enzi na enzi wanawake mnapuuzwa na kudharauliwa ko kubali hali yako tayari wewe ni mwanamke hutabadilika
 
Kwani ukisema hivyo ndo itabadilisha ukweli wa jinsi nilivyo? Wewe ongea jifurahishe tu ila ukweli utabaki pale pale.
Ndo hivyo tena k haijatosha kunifanya niwaone mnakitu cha ziada,mimi situmii moyo wenye mihemko ila akili ko vumilia kama hayakuhusu potezea sio pilipili alishwe mwingine uwashwe wewe
 
Kwani wewe unaona kuzaa kuna uajabu gani,ulitaka azae nani? Ingekuwa ni adhabu hivyo hakuna mwanamke angekuwa anarudia kuzaa,kama unadhani kutafuta pesa ni rahisi acha usizae ili usitafute ujihudumie mwenyewe
Sasa kwani na kutafuta pesa unaona ni adhabu? Sasa usipotafuta wewe unataka nani mwingine atafute? Yaani wewe haubebi mimba, hauzai, haupiki, haufui, hauoshi vyombo, hausafishi nyumba

Yote hayo anafanya mkeo halafu wewe kutafuta pesa na kuhudumia familia tu unaona ni mtihani mkubwa sana eti? Hahahaha wanaume waoga wa maisha utawajua tu

Yaani wewe mwanaume badala ya kuchukulia kutafuta pesa na kuhudumia familia kama ni jukumu lako la lazima unachukulia eti ni kama mzigo umebebeshwa wakati wanaume wenzio wanaona ni kawaida kabisa na wanafanya bila kuleta longolongo

Ndo maana nasema nakushangaa wewe mwanaume unayemuonea mkeo eti kisa unamhudumia siyo mwanaume kamili maana ungekuwa mwanaume kamili ungechukulia kama kumhudumia mkeo ni wajibu wako na ni haki yake na wewe hautakiwi kujisifia kwa hilo kama ambavyo sisi hatutakiwi kujisifia kwa majukumu yetu
 
Nawapuuza coz mnasumbua wakati u have nothing to offer,toka enzi na enzi wanawake mnapuuzwa na kudharauliwa ko kubali hali yako tayari wewe ni mwanamke hutabadilika
Nothing to offer? What about the children you have? Kwani na wanaume ukiacha pesa ambazo hata sisi tunaweza kujitafutia mna nini kingine cha kutupa?
 
Ndo hivyo tena k haijatosha kunifanya niwaone mnakitu cha ziada,mimi situmii moyo wenye mihemko ila akili ko vumilia kama hayakuhusu potezea sio pilipili alishwe mwingine uwashwe wewe
Kwani wanaume mna nini cha kutufanya wanawake tuwaone wa ziada?
 
Tunawalisha sisi ni slope zenu vita ikizuka hapa usalama wenu nani au hata mjusi akiingia ndani mnakimbia nyumba mna maana gani nyie zaidi ya kutuzaa
 
Nothing to offer? What about the children you have? Kwani na wanaume ukiacha pesa ambazo hata sisi tunaweza kujitafutia mna nini kingine cha kutupa?
Alaa mbona mnahanfaika kuombewa muolewe ushawahi ona wanaume wanalialia kwa wachungaji au waganga huko ili iwaje?
Tunavyo vingi hata kuwatia tu u gain we loose
 
Sasa kwani na kutafuta pesa unaona ni adhabu? Sasa usipotafuta wewe unataka nani mwingine atafute? Yaani wewe haubebi mimba, hauzai, haupiki, haufui, hauoshi vyombo, hausafishi nyumba

Yote hayo anafanya mkeo halafu wewe kutafuta pesa na kuhudumia familia tu unaona ni mtihani mkubwa sana eti? Hahahaha wanaume waoga wa maisha utawajua tu

Yaani wewe mwanaume badala ya kuchukulia kutafuta pesa na kuhudumia familia kama ni jukumu lako la lazima unachukulia eti ni kama mzigo umebebeshwa wakati wanaume wenzio wanaona ni kawaida kabisa na wanafanya bila kuleta longolongo

Ndo maana nasema nakushangaa wewe mwanaume unayemuonea mkeo eti kisa unamhudumia siyo mwanaume kamili maana ungekuwa mwanaume kamili ungechukulia kama kumhudumia mkeo ni wajibu wako na ni haki yake na wewe hautakiwi kujisifia kwa hilo kama ambavyo sisi hatutakiwi kujisifia kwa majukumu yetu
Kama sio mzigo katafute na wewe,hizo kazi zingine ni simple sana ndio maana kwenye zinafanywa na wanaume pale zikiwa kwenye volume au quantity kubwa kama hoteli,shule etc
Ili uhudumiwe lazima utii wa sheria ya ndoa bila shuruti
 
unaongelea wale wanaojiachiaga kwenye ndoa eeh..pole yao ndo ao wanaongoza kugongewa wake zao..mwanaume kupet bwanaaa.
Eti ugomvi umetokea we ndo unakauusha kmyaaaa tena unaanza na kupost vmtu vngine..hahaa kweli mapenzi hayana FOMULA..

Binafsi ukikaa kimyaa mda usio wa kawaida niliozoea basi ushanipa jibu nina uzito gani kwaknachukua hatua faster SIO MDOLI MM NINA MOYO.mxeeeew
 
Yani wanawake wana akili kijiko cha dawa, kukosa akose yeye msamaha aombwe yeye aisee!!
Unachelewa kukaa kumsubiri mtu akuombe eti msamaha, anza wewe kama kweli hutaki kumpoteza.

Shida inakuja hakuna ambae yuko tayari kujishusha.
 
Tunawalisha sisi ni slope zenu vita ikizuka hapa usalama wenu nani au hata mjusi akiingia ndani mnakimbia nyumba mna maana gani nyie zaidi ya kutuzaa
Sidhani kama wewe ni mtoto mdogo wa kustahili kueleweshwa umuhimu wa kuzaa kwamba haujui kabisa
 
Alaa mbona mnahanfaika kuombewa muolewe ushawahi ona wanaume wanalialia kwa wachungaji au waganga huko ili iwaje?
Tunavyo vingi hata kuwatia tu u gain we loose
Kwa taarifa yako wanawake wanaohangaika kuolewa ni wale ambao wanaishi kufuata mitazamo ya jamii yaani wanawaza wasipoolewa jamii itawachukuliaje ndo matokeo yake wanalazimisha kuolewa hadi wanaishia kuolewa na wanaume kama wewe
 
Kama sio mzigo katafute na wewe,hizo kazi zingine ni simple sana ndio maana kwenye zinafanywa na wanaume pale zikiwa kwenye volume au quantity kubwa kama hoteli,shule etc
Ili uhudumiwe lazima utii wa sheria ya ndoa bila shuruti
Kwani wewe unaongelea wanawake wa aina gani? Mbona siku hizi tupo wanawake wengi tunaotafuta pesa? Wanawake kama mkeo wasiotafuta pesa siku hizi kwenye jamii wanadharaulika na wanaonekana wa ajabu na ndo hao wanaokubali kunyanyasika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi kumbe nimeshapata jibu kwanini mkeo anakubali kunyanyasika

Aise ningejua tangu muda wote huo kwamba mke wako hatafuti pesa nisingebishana na wewe wanawake kama mke wako ndivyo walivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lazima wakubali kunyanyasika kwa sababu wanajua wakiachika hawana pa kwenda maana kila kitu wanawategemea waume zao ila ungepata mwanamke anayetafuta pesa zake asingekubali kuo ujinga basi kumbe ndo maana daah
 
Kwenye mahusiano ya boyfriend na girlfriend au mahusiano yoyote yale lazima kunakuwepo na kuhitilafiana kwa hapa na pale

Linapokuja suala la kugombana ya wawili hao kinachofuata ni kusuluhishana mambo yaishe mapenzi yaendelee

Kunapotokea ugomvi wa kimahusiano sio siri sisi wanawake huwa tunaumia sana,na huwa tunapenda mahusiano yazidi kuwepo hasa kama uliyenaye ni yule wa moyo wako

Katika hali hiyo tunategemea mwanaume amuonyeshe mpenzi wake pamoja na kugombana bado anampenda na anampenda sana

Hapa tunamtegemea mwanaume baada ya kugombana,baada ya SAA moja mwanaume atakuwa na jukumu la kuweka mahusiano sawa,kwa kumtumia text za hapa na pale,za kumbembeleza mwanamke hata kama mwanamke ndo alikuwa na makosa,haijalishi nani kaanzisha ugomvi ila mwanaume ana jukumu kubwa la kuweka mahusiano sawa

Kwa sasa hali imebadilika sana kwa hawa wanaume,mnagombana,mnamaliza hata siku mbili hakutumii text,wala kukupigia sim,na kama mwanamke ataendelea kupiga kimya,kinachofuata ni mwanaume kuanza kuweka picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo hazieleweki,mara aweke za mwanamke fulani,mara aweke za wanawake na status kibao,au akae online muda mrefu ambapo si kawaida yake

Unabaki unajiuliza ina maana mahusiano yameisha,mbona sielewi,mapicha picha ya nini tena

Ukweli ndo huu,tunapogombana na ukamaliza masaa 2 bila kutuma sms au kupiga sim hata kuulizia kitu fulani,yaani huwa tunaumia sana

Na kama tangu ugomvi yamepita masaa 5 hujatuma sms, huwa tunahisi kuchanganyikiwa,sms inaingia unadhani ni baby kumbe za watu wengine au mitandao maumivu huwa yanatuzidi

Nyie wanaume acheni kuwatesa wawapendao,hamjui tu tunavyoumia

Ndo maana muda mwingine unasema bora usiwe kwenye mahusiano

Tubembelezeni basi baada ya ugomvi,hata kama sisi ndo wakosaji au hata kama ni nyie wakosaji
Wee mwanamke kichwa aisee.
 
Kwani wewe unaongelea wanawake wa aina gani? Mbona siku hizi tupo wanawake wengi tunaotafuta pesa? Wanawake kama mkeo wasiotafuta pesa siku hizi kwenye jamii wanadharaulika na wanaonekana wa ajabu na ndo hao wanaokubali kunyanyasika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi kumbe nimeshapata jibu kwanini mkeo anakubali kunyanyasika

Aise ningejua tangu muda wote huo kwamba mke wako hatafuti pesa nisingebishana na wewe wanawake kama mke wako ndivyo walivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lazima wakubali kunyanyasika kwa sababu wanajua wakiachika hawana pa kwenda maana kila kitu wanawategemea waume zao ila ungepata mwanamke anayetafuta pesa zake asingekubali kuo ujinga basi kumbe ndo maana daah
Kuna uzi huko usioe mwanamke mwenye pesa au mtumishi umeumia,nadhani umeusoma jukumu lenu kuzaa ukiamua pesa manake imejitoa kuolewa full stop
 
Kwa taarifa yako wanawake wanaohangaika kuolewa ni wale ambao wanaishi kufuata mitazamo ya jamii yaani wanawaza wasipoolewa jamii itawachukuliaje ndo matokeo yake wanalazimisha kuolewa hadi wanaishia kuolewa na wanaume kama wewe
Na nyie mnaotaka uhuru mnaushia kuwa left overs,watu wanatolea nyege wanasepa hamuwezi kuolewa
So uchague kuolewa au kuwa wa kutolea wanaume nyege
 
Sidhani kama wewe ni mtoto mdogo wa kustahili kueleweshwa umuhimu wa kuzaa kwamba haujui kabisa
Kuzaa ni kuzaa lazima uzae sasa unachotaka kunitwisha kisa unazaa hakibebeki,kuzaa utazaa tu sasa sijui unataka kwamba kisa unazaa ndo tuimbe hakuna kama mama,hili kwangu halipo ni jukumu lako kuzaa
 
Back
Top Bottom