Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Haji mwenyeweHaji niaje
Haji mwenyeweHaji niaje
Haji manara niajeHaji mwenyewe
OYa mimi sio haji manaraHaji manara niaje
Ana roho mbaya uyoMwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo.
Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali unaendelea kwa sasa, kwani maafisa wa sheria waliopewa eneo hilo bado hawajatoa matokeo rasmi kuhusiana na mazingira ya tukio hilo.
Tukio hilo lilitokea katika Kitongoji cha Graie cha wilaya ya 9 ya umeme, kaunti ya Nimba
Taarifa zaidi zinatarajiwa huku uchunguzi ukiendelea.
View attachment 3537496
Wewe ni nusu albinoOYa mimi sio haji manara
Aina nomaWewe ni nusu albino
Baridi, karibu nanjilinjiAina noma
Kufanya nini hukoBaridi, karibu nanjilinji
Kuchunga nyani wasile mashambaKufanya nini huko
Wasile mashamba au mazao?Kuchunga nyani wasile mashamba
Kobe vumbi elewa bhanaWasile mashamba au mazao?
Dogo wapi mitaa niibuke nije nikutie kofi la utosiKobe vumbi elewa bhana
ChaiDogo wapi mitaa niibuke nije nikutie kofi la utosi
Tag location dogoChai
Acha biti, ka vipi weka namba nikupigie boya weeTag location dogo