Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

Mm ningeondoka nikamuachia nyumba na asingewai niona tena na asingejua nimeondoka kwa sabab gani kid ink tz,

Sent using kvant

Mzee uk criaz kwl, yn watto cyo wako tena umuachie na nyumba juuu[emoji1552]‍♂️

Hii hapana mzee

Ungnambia umuache bila kumdhuru hapo sawa

Any ways kila mtu anfikir kwa angle zake
 
Huyo jamaa bwege tu . Wala asingempiga.
Kuna mfanyakazi mwenzangu aligundua kuwa watoto wote wawili aliozaa na mkewe sio wake.
Alichofanya alimwambia waachane tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
So kama mwanaume huna nguvu za kiume mkeo afe mgumba?
Vitu vingine wanaume tunatakiwa kushukuru kwa msaada na aibu wanazotufichia kina mama 🀣🀣🀣
 
Mkuu embu fikiria kitu kimoja, yaani watoto watatu ni wastani wa miaka 10, Je katika miaka yote kumi yaani jamaa ameshindwa kufunga hata goli moja tu? Mwanamke analalamikiwa utafiikiri alikuwa anazuia magoli.!!!
 
Watoto watatu wote nje ya ndoa Mwanaume ana tatizo si bure
 
.................Hiyo adhabu haitoshi ni ndogo sana hii,nilitegemea kwa alichomfanyia huyu jamaa huyo malaya angepaswa kuwa kwenye deathbed.

Hapo anaongea kabisa?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…