STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm ningeondoka nikamuachia nyumba na asingewai niona tena na asingejua nimeondoka kwa sabab gani kid ink tz,
Sent using kvant
WEWE una akili kama yanguMm ningeondoka nikamuachia nyumba na asingewai niona tena na asingejua nimeondoka kwa sabab gani kid ink tz,
Sent using kvant
Mm ningeondoka nikamuachia nyumba na asingewai niona tena na asingejua nimeondoka kwa sabab gani kid ink tz,
Sent using kvant
Ninaamini wapo wanawake wengi tu humu wanausoma uzi huu na vichwani mwao zinakuja kumbukumbu za matukio ya usaliti na kubambikia waume zao mimba.Lakini wala hawajali wala kusikitika.Wapo humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie ID yako imenikumbusha hii nyimbo ya kid ink tu
So kama mwanaume huna nguvu za kiume mkeo afe mgumba?Huyo jamaa bwege tu . Wala asingempiga.
Kuna mfanyakazi mwenzangu aligundua kuwa watoto wote wawili aliozaa na mkewe sio wake.
Alichofanya alimwambia waachane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna haja angesepa zake kanada peke na kumwacha huyo mke na wanawekid ink tz,
Hata mimi ningeua tu hana maan takataka kama hizo ni kuziwekea mafuta ya taa au petroli ziteketee na zisibaki hata kidogo
Mkuu embu fikiria kitu kimoja, yaani watoto watatu ni wastani wa miaka 10, Je katika miaka yote kumi yaani jamaa ameshindwa kufunga hata goli moja tu? Mwanamke analalamikiwa utafiikiri alikuwa anazuia magoli.!!!Mwanamke ni kiumbe kibaya Sana
Najaribu kuvaa viatu vya Mwanaume Mwenzangu na havinitoshi (empathy)
How dare are you kumfanyia mtu kitu kama hicho ? Watoto watatu kwamba Jamaa sio mzima Ama
Eti ninyi wanawake Mnasukumwa na Nini hasa mpaka Mnaweza kumfanyia mtu hivyo ??
It's far better ukitombeshe kuliko huo ushetani
Hapo bado huku mtaani watu wanalea visivyo vyao Mamayee
😂 😂Nafikiri kibongo bongo.... Kuna baadhi ya wanaume Tena wanahisi kabisa mtoto huyu sio wangu Ila wanakauka KIBINGWA.
Mkuu ulitaka kusema wauone ?, nashangaa wadada hawachangii, hawajona au inawachoma ?.
Mkuu ulitaka kusema wauone ?, nashangaa wadada hawachangii, hawajona au inawachoma ?.