Mwanaume Mmoja Wa Kigeni huko Saudi Arabia ahukumiwa kifo kwa kukashifu Uislamu

Wakatoliki mnaojifanya mmekasiriswha na adhabu hiyo , kama waanzilishi wa ukristo mkasome adhabu zilizokuwa zikitolewa kwa makosa haya:-
Heresy
Apostasy
Blasphemy
Witchcraft and sorcery
Practising Judaism after converting to Christianity
Practising Islam after converting to Christianity
Denying the doctrine of the Trinity
Rejecting the authority of the Pope
Rejecting Church sacraments
Protestantism in Catholic territories
Catholicism in some Protestant territories
Possessing or distributing prohibited religious books
Translating or circulating the Bible without Church authorization
Idolatry
Pagan worship
Sacrilege
Religious dissent and schism
Denying the divinity of Jesus Christ
Denying the real presence of Christ in the Eucharist
Polygamy
Adultery and sexual offences
Violating religious fasting or Sabbath regulations
Refusing to convert to Christianity in certain historical contexts

Bado damu ya mauaji yaliombatana na ukoloni, utumwa, mauaji ya halaiki hapo Rwanda na Bosnia na kwingineko
Hizo ni sheria za Wayahudi

1. Apostasy — kuacha imani ya Mungu. Hii ni Sheria ya Israeli ya kale iliagiza kifo kwa kumshawishi mtu aabudu miungu mingine. Soma Kumbukumbu 13:6–10
2. Blasphemy — kumkufuru Mungu, hii ilikuwa adhabu ya Kifo kwa kupigwa mawe chini ya sheria ya Israeli ya kale. Soma Mambo ya Walawi 24:14–16
3. Uchawi na uganga - Kutekeleza uchawi kulihusishwa na adhabu ya kifo katika sheria ya kale. Soma Kutoka 22:18 na Mambo ya Walawi 20:27
4. Kuendelea na Uyahudi baada ya kuwa Mkristo - Hakuna adhabu maalumu ya kifo iliyotajwa kwa mtu huyo kwa namna hii kwenye Biblia. Agano Jipya linahimiza imani kwa Kristo. Soma Yohana 14:6 na Warumi 10:12–13
5. Kufanya ibada ya Kiislamu baada ya kuwa Mkristo, Hakuna kifungu kinachotaja moja kwa moja adhabu maalumu kuhusu jambo hili. Kanuni pekee zinazokaribiana ni onyo tu dhidi ya kuacha imani. Soma Waebrania 10:26–29
6. Kukataa fundisho la Utatu. Hii pia hakuna adhabu maalumu ya kisheria iliyotajwa kuhusu jambo hilo. Biblia inafundisha kuhusu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Soma Mathayo 28:19 na 2 Wakorintho 13:14
7. Kukataa mamlaka ya Papa. Hii pia Hakuna adhabu ya kibiblia inayotaja moja kwa moja kumkataa Papa; cheo hicho na mamlaka yake ni suala la tafsiri na historia ya kanisa la kikatoliki na halina uhusiano wa kibiblia. Soma Mathayo 16:18–19 na Matendo 15
8. Kukataa sakramenti za Kanisa, hii pia Hakuna adhabu moja ya jumla iliyotajwa kwa kukataa sakramenti zote. Biblia ina maagizo kuhusu ubatizo na Meza ya Bwana. Soma Mathayo 28:19; 1 Wakorintho 11:27–29
9. Uprotestanti katika maeneo ya Kikatoliki, Biblia haitaji Uprotestanti kama kosa, kwa sababu ulitokea karne nyingi baadaye. Soma Wagalatia 1:8–9 na Matendo 5:29
10. Ukatoliki katika maeneo fulani ya Kiprotestanti. Hii pia Hakuna adhabu maalumu inayotajwa kwa jina la Ukatoliki. Somq Warumi 14:4 nq Matendo 5:29
11. Kumiliki au kusambaza vitabu vya dini vilivyopigwa marufuku, hakuna sheria inayoamuru kuua au kudhuru. Soma Matendo 19:19 yanataja watu waliokusanya na kuchoma vitabu vya uchawi kwa hiari; haya si maagizo ya kuua watu kwa kumiliki vitabu. Matendo 19:18–20
12. Kutafsiri au kusambaza Biblia bila ruhusa ya Kanisa Hakuna adhabu maalumu ya Biblia inayotaja kosa hili kwa maneno hayo. Soma Kumbukumbu 6:6–9; 2 Timotheo 3:16–17
13. Ibada ya sanamu Sheria ya Israeli ya kale iliagiza kifo kwa baadhi ya matendo ya kuabudu sanamu. Soma Kumbukumbu 17:2–7
14. Ibada za kipagani Kuabudu miungu mingine kulikatazwa; adhabu kali zilitajwa chini ya agano la kale. Soma Kutoka 20:3–5; Kumbukumbu 13:6–10
15. Kuchafulia au kudharau vitu vitakatifu (sacrilege) Adhabu hutegemea tendo lenyewe. Biblia ina mifano ya hukumu kali kwa kudharau vitu vya Mungu lakini si kuua Soma Mambo ya Walawi 10:1–2; 1 Samweli 6:19
16. Upinzani wa kidini na mgawanyiko wa kanisa. Agano Jipya linaonya dhidi ya migawanyiko na linaelekeza kurekebisha waumini; hakuna adhabu moja ya kifo kwa kila kutokubaliana. Tito 3:10–11; Warumi 16:17
17. Kukataa uungu wa Yesu Kristo Biblia inatoa onyo kali kuhusu kumkataa Mwana, lakini haitaji adhabu ya serikali ya kifo kwa kila mtu anayekataa fundisho hilo. 1 Yohana 2:22–23; Yohana 3:18
18. Kukataa uwepo halisi wa Kristo katika Ekaristi Biblia inaonya kuhusu kula mkate na kunywa kikombe cha Bwana isivyostahili; tafsiri ya uwepo wa Kristo hutofautiana kati ya madhehebu. 1 Wakorintho 11:27–29
19. Mitala (polygamy) Biblia ina mifano ya watu wenye wake wengi, lakini pia inafundisha uaminifu wa ndoa. Hakuna adhabu moja ya kifo iliyowekwa kwa kila mtu mwenye wake wengi. Mwanzo 4:19; Mathayo 19:4–6; 1 Timotheo 3:2
20. Uzinzi na makosa ya kingono Uzinzi uliadhibiwa kwa kifo chini ya sheria ya kale ya Israeli. Agano Jipya linakataza uzinzi na kuhimiza toba. Mambo ya Walawi 20:10; Yohana 8:3–11
21. Kuvunja saumu au sheria za Sabato Kuvunja Sabato kulipewa adhabu ya kifo katika baadhi ya masharti ya sheria ya kale. Saumu haikuwa na adhabu moja ya jumla ya kifo. Kutoka 31:14–15; Hesabu 15:32–36; Mathayo 6:16–18
22. Kukataa kuingia Ukristo katika mazingira fulani ya kihistoria Hakuna amri ya jumla katika Biblia inayosema kila mtu anayekataa kuingia Ukristo auawe. Agano Jipya linaelekeza kuhubiri na kufundisha. Mathayo 28:19–20; Mathayo 10:14
 
Agano la kale na agano la kisasa yapo kwenye vitabu gani?

Hawa waliotekeleza hizo amri walikuwa wayahudi au walitumia dini gani kuamuru?

Pope Innocent III
Pope Gregory IX
Pope Sixtus IV
Robert le Bougre
Hugh of Auxerre
Philip II Augustus
Simon de Montfort
Ferdinand II of Aragon
Isabella I of Castile
John Calvin
Mary I of England
Thomas More
Theodosius I
 
Au niwasaidie mtafute maana ya hizi adhabu kwa makosa hayo

Burning at the stake
Beheading
Hanging
Drowning
Strangulation
Torture
Imprisonment
Life imprisonment
Exile or banishment
Confiscation of property
Fines
Public humiliation
Flogging or whipping
Forced conversion
Forced penance
Excommunication
Denial of civil rights
Forced labour
Expulsion from a territory
Execution by the sword
Death by stoning in certain historical legal contexts

Unachanganya mambo, kwa sababu huelewi au umefanya makusudi?

Hizo adhabu karibia zote ni za Judaism, siyo christianity. Ukristo haujawahi kuwa na adhabu ya kumwua mtu au kumtesa. Adhabu pekee kwenye ukristo, anayekiuka msingi mkuu wa imani, excommunication, yaani utatengwa kupata huduma za kidini, lakini hawayagusi maisha yako uliyoamua kuyafuata. Laana kubwa ya Dunia kwa sasa ni uislam. Huko ndiko kunakukatana shingo, kuua kwa kuwapiga watu mawe, ugaidi wa kuwaua watu kwa kujilipua, nk!!
 
Kuna ushahidi wa wazi:
Jan Hus (1415): Alihukumiwa kwa uzushi wa kidini na kuchomwa motoni kwa uamuzi wa Baraza la Constance. 
Michael Servetus (1553): Alihukumiwa na mamlaka za Kiprotestanti za Geneva na kuchomwa motoni kwa kupinga mafundisho yaliyokubaliwa kuhusu Utatu. John Calvin aliunga mkono adhabu ya kifo, ingawa mamlaka za kiraia ndizo zilizotoa hukumu na kuitekeleza. 
Mahakama za Inquisition: Katika baadhi ya maeneo ya Ulaya, watu waliopatikana na hatia ya uzushi na kukataa kutubu walikabidhiwa kwa mamlaka za kiraia na kuchomwa moto

Leo mnakana vitabu vyenu wenyewe!

Kwani amri za usiue, usiibe, usizini ni za wayahudi, wakiristo haziwahusu?

Au ndiyo maana mnafanya ushoga, ufisadi na wizi kwa kusingizia adhabu ya uyahudi kwa sababu mungu mnayemuamini aliuawa na watu aliowaumba mwenyewe kwa kosa la uhaini?
 
Back
Top Bottom