Mwanaume Muislam safi anahitajika


Babu Tale pengine akawa na hizo sifa zote ba zaidi. Wasiliana na spika Job akuunganishe.
 
"Miaka kuanzia 40 na kuendelea

Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara

Makazi awe anaishi Dar.

Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto ni sawa"

Hizi ni sifa za mume wa mtu. Yaani wenye sifa hizi tayari Wana familia zao
 
Dah uzi unapepea...Haya nimekuja!!nimekuja!! mwambie Mume ameshapata anaitwa Citizen Bilal
ila masharti yangu Honeymoon Singapore
 
Kwani kuna muislamu mchafu? kwanini usingesema tu muislam? Muislam safi means kuna muislam mchafu right? je na wakristo kuna safi na wachafu?
 
Hapa hakuna watu fake.
Mimi nawajua watu wengi tu hawapendi kujitangaza tu wamekutana humu
Kama fake labda Wewe BUT wengI humu Ni wema Japo Kuna wachache tu wenye kuchukulia utani kwa kila jambo
Aya njoo PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…