Mwanaume Muislam safi anahitajika

Mwanaume Muislam safi anahitajika

Habari wadau...

Ukisikia bahati Sasa ndio hii. Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.

Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto ni sawa

Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane

Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa. Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.

Babu Tale pengine akawa na hizo sifa zote ba zaidi. Wasiliana na spika Job akuunganishe.
 
"Miaka kuanzia 40 na kuendelea

Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara

Makazi awe anaishi Dar.

Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto ni sawa"

Hizi ni sifa za mume wa mtu. Yaani wenye sifa hizi tayari Wana familia zao
 
Kwani kuna muislamu mchafu? kwanini usingesema tu muislam? Muislam safi means kuna muislam mchafu right? je na wakristo kuna safi na wachafu?
 
Back
Top Bottom