Mwanaume Muislam safi anahitajika

Dah uzi unapepea...Haya nimekuja!!nimekuja!! mwambie Mume ameshapata anaitwa Citizen Bilal
ila masharti yangu Honeymoon Singapore
Kwa hiyo thread suppose to be closed?
 
Mbona anataka Wazee tu kuanzia 40? Chini ya 40 hachukui?
BAK man of the people!
Sasa Kaka B 40 tangu lini wakawa wazee Sasa akina mzee Butiku na Warioba watasemaje,?
Sidhani Kama Ni wazee kiivyo
But naona kesho ataweza kuconsider kidogo maybe 35 above.. right?
 
Reactions: BAK
Hahahahaha haya kama akikubali kushusha kidogo tustue.
BAK man of the people!
Sasa Kaka B 40 tangu lini wakawa wazee Sasa akina mzee Butiku na Warioba watasemaje,?
Sidhani Kama Ni wazee kiivyo
But naona kesho ataweza kuconsider kidogo maybe 35 above.. right?
 
Hapo kwenye Talaka umepaelewa?. Na aliomba hivyo kwa kuwakwa umri umesogea awe na mtu mzima.wenye mitihani Kama yake maishani Wapo
Sasa na kwa kuwa wanakuja Basi atawachanganua kwa uzuri
Kupima afya ni muhimu sana,maana huo umri mtu anakuwa ameingiza mashimo ya kutosha tu.afya iwe kipaumbele cha muhimu sana.

Halafu awe makini ,wengine wataigiza hata mwaka mzima wakipima faida,hasa kama bidada ana vipesa. Atachunwa halafu mtu anapita hivii...

Kitu chengine mapenzi bhana yana natural yake,namna mnakutana,kupendana n.k.sasa hii ya humu inakuwaga haina uhalisia,yaan maigizo lazima yawepo.

Namtakia heri,apate hitaji la moyo wake.
 
Daah , hapo umri umeniangusha , mwambie apunguze kidogo , nije tuyajenge
 
Nina asilimia 70 ya sifa tajwa, jee naruhusiwa kuja?
 
Hapo kwenye Talaka umepaelewa?. Na aliomba hivyo kwa kuwakwa umri umesogea awe na mtu mzima.wenye mitihani Kama yake maishani Wapo
Sasa na kwa kuwa wanakuja Basi atawachanganua kwa uzuri

Aya kila la kheri
 
Kwanza Mimi Ni mkristo
Najibu hivi kwa kuwa aliniambia mahitaji
Kama nimekosea samahani
PS
Nashukuru pm kumejaa
Weekend atachambua Ukikosa usiumie jaribu jaribu mpaka itafanikiwa
Watu wema Wapo na ni popote
Nikikosa??? You must be kidding.

Nina wake wawili hapa nilipo na wadau kadhaa wanaoomba niwawowe. Na wake zangu ni visu vya maana. Then sioi kwa sababu ya njaa.
 
Mpira unaanzaje kwa kutanguliwa goals mbili nzima!!!?
 
Aksante
Halafu naomba uwre na lugha laini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…