Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAK man of the people!Mbona anataka Wazee tu kuanzia 40? Chini ya 40 hachukui?
BAK man of the people!
Sasa Kaka B 40 tangu lini wakawa wazee Sasa akina mzee Butiku na Warioba watasemaje,?
Sidhani Kama Ni wazee kiivyo
But naona kesho ataweza kuconsider kidogo maybe 35 above.. right?
Thread ifungwe...Mume nimeshapatikana Citizen BilalKwa hiyo thread suppose to be closed?
Kupima afya ni muhimu sana,maana huo umri mtu anakuwa ameingiza mashimo ya kutosha tu.afya iwe kipaumbele cha muhimu sana.Hapo kwenye Talaka umepaelewa?. Na aliomba hivyo kwa kuwakwa umri umesogea awe na mtu mzima.wenye mitihani Kama yake maishani Wapo
Sasa na kwa kuwa wanakuja Basi atawachanganua kwa uzuri
Daah , hapo umri umeniangusha , mwambie apunguze kidogo , nije tuyajengeHabari wadau...
Ukisikia bahati Sasa ndio hii. Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto ni sawa
Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane
Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa. Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.
Nina asilimia 70 ya sifa tajwa, jee naruhusiwa kuja?Habari wadau...
Ukisikia bahati Sasa ndio hii. Najua Wapo ambao hawataelewa na kuchukulia utani lakini hili suala Ni serious Sana kutokana na mhusika mwenyewe.
Sifa.
Awe muislam
Miaka kuanzia 40 na kuendelea
Kazi mfanyakazi au mfanyabiashara
Makazi awe anaishi Dar.
Awe hajawahi oa au alioa akatalikiana pia akiwa na watoto ni sawa
Sifa za muhitaji
Rangi ya chungwa na tabasamu bashasha
Watoto 2( Wapo nje ya nchi hakai nao)
Ni mfanyabiashara.
Ni mjane
Mengine njoo pm ili ukutanishwe na mlengwa. Narudia kwa atakayefanikiwa kuelewana na Dada huyu basi ataishukuru JF mpaka mwisho wa maisha yake kwani sasa ataenda kuishi Dunia ya furaha na yenye asali na maziwa.
Hapo kwenye Talaka umepaelewa?. Na aliomba hivyo kwa kuwakwa umri umesogea awe na mtu mzima.wenye mitihani Kama yake maishani Wapo
Sasa na kwa kuwa wanakuja Basi atawachanganua kwa uzuri
Nikikosa??? You must be kidding.Kwanza Mimi Ni mkristo
Najibu hivi kwa kuwa aliniambia mahitaji
Kama nimekosea samahani
PS
Nashukuru pm kumejaa
Weekend atachambua Ukikosa usiumie jaribu jaribu mpaka itafanikiwa
Watu wema Wapo na ni popote
Hili Ni Jina Mods Hapa Jamiiforums.comUtabadili Dini? Au Hilo Ni jina tu la humu
Ndiyo!!!Wewe Ni Islam?
Wasiwasi ndio akili.Why should I do that?
Usiishi kwa wasiwasi.
Be yourself
This is real
No drama
AksanteKupima afya ni muhimu sana,maana huo umri mtu anakuwa ameingiza mashimo ya kutosha tu.afya iwe kipaumbele cha muhimu sana.
Halafu awe makini ,wengine wataigiza hata mwaka mzima wakipima faida,hasa kama bidada ana vipesa. Atachunwa halafu mtu anapita hivii...
Kitu chengine mapenzi bhana yana natural yake,namna mnakutana,kupendana n.k.sasa hii ya humu inakuwaga haina uhalisia,yaan maigizo lazima yawepo.
Namtakia heri,apate hitaji la moyo wake.