kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Kama familia haina uwezo itakuhudumiaje?Ndugu zanguni, maisha yanakwenda kwa kasi sana, na hatujui ya mbele yetu ni nini, yanaweza yakawa mazuri au mabaya japo katika kanuni ya maisha hatutakiwi kujitabiria mabaya.
Katika mazuri kunakufanikiwa kimaisha, kiuchumi, kifamilia, elimu na afya njema lakini katika mabaya nayakusikitisha kwa mwanadamu kuna magonjwa pamoja na vifo na mengineo.
Tukigeukia kwa upande wa mabaya, kijana umefikisha miaka 35 au zaidi au chini kidogo uwe na fedha au usiwe nazo na huna familia, wewe bado upo upo. Ulishawai kukaa na kutafakari siku kwa bahati mbaya umeumwa gafla ndani umezidiwa itakuwaje?
Sawa ndugu zako wakaribu watapata taarifa na watakusaidia lakini itafika mahali wanaweza choka na kujipoteza mmoja moja, kinachobaki nikuanza kujuliwa hali kwa njia ya simu lakini familia yako, mke na watoto watakuwa hapo na wewe usiku na mchana kukupambania, hawatachoka na wewe. Tumeshuhudia haya katika jamii zetu zinazotuzunguka.
Vile vile unaweza kuwa na fedha nyingi mwisho siku zinaweza zisikusaidie pia ukiwa kitandani. Hili ni jambo lakufikiria sana na kulipa umakini mkubwa. Sisi wanaume kuna namna tunataikiwa tufikirie sana.
Kwani unaanzisha familia kwa lengo la ukipata matatizo ikusaidie?
Usipojipanga ukipata matatizo wanaume wenzako watakusaidia kwa mkeo,Kizazi cha sasa hakitaki shida
Pesa ni jibu la Mambo yote hata Kwenye Biblia imeandikwa
Pesa inafariji acheni masihara 😀