Mwanaume, Mungu akikupa uhai mpaka unafikisha miaka 35 hakikisha uwe na familia. Fedha si kitu

Kama familia haina uwezo itakuhudumiaje?
Kwani unaanzisha familia kwa lengo la ukipata matatizo ikusaidie?
Usipojipanga ukipata matatizo wanaume wenzako watakusaidia kwa mkeo,Kizazi cha sasa hakitaki shida

Pesa ni jibu la Mambo yote hata Kwenye Biblia imeandikwa
Pesa inafariji acheni masihara 😀
 
Sasa hiyo familia utaitunzaje bila pesa..
Kama wewe mwenyewe Kula Tu ni tabu
 
Usiitukuze pesa ivo pesa sio kila kitu hapa dunian mbona kuna watu hawana pesa wanaishi vzur tu na wengine wana pesa nyingi ila ndo wanaishi maisha ya tabu
 
Tafuta hela wewe
 
Familia muhimu na ni burudani.
Pesa ni muhumu na hitaji la lazima.
 


Hiyo familia inakula miaka...
 
Usiitukuze pesa ivo pesa sio kila kitu hapa dunian mbona kuna watu hawana pesa wanaishi vzur tu na wengine wana pesa nyingi ila ndo wanaishi maisha ya tabu
Sawa,chaguo ni lako
nachagua upande wa kua na uwezo wa pesa kwanza,mengine yatajileta yenyewe nikishasimama mimi kwanza
 
Kama unakua na familia kwa malengo haya bas jiandae kugongwa na kitu kizito kichwani
 
We unamawazo ya kizamani Sana tafuta pesa wekeza Katika Mambo ya msingi hakuna Mwanamke Wala Familia ya kukuokoa acha kuishi Katika ndoto za alinacha
Vipi usipo ipata hiyo fedha katika umri huo!?? Kuna wangapi hata wewe hujaipata katika umri huo!?? Vijana mna safari ndefu Sana!! Life is not a rehearsal!!!?? Is performance mjomba!! Pesa ni matokeo
 
Inaonekana mwanaume ndo mwenye uhitaji na familia sana kuliko mwanamke sio?, Na kwamba matatizo yapo kwaajili ya mwanaume pekee sio?, unamaana ya kwamba haiwezekani mwanafamilia yeyote zaidi ya baba ambae ndo anaweza kupatwa na hayo matatizo? Tuache kuishi kwa kukariri
 
Anyway, Nina uwezo wa kukujibu chochote lakini naachana na wewe
Hujaachana nami, umenijibu, halafu unasema umeachana nami.

Ungekuwa umeachana nami usingenijibu chochote.

Umenijibu halafu unasema hujanijibu!
 
Wanaume tunahitajika hatupendwi....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…