Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Una miaka mingapi?I cannot imagine myself being 40 and broke [emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una miaka mingapi?I cannot imagine myself being 40 and broke [emoji119]
Mwanaume anaweza survive ikiwa hana presha yeyote japo hela atakuwa hana. Ila kama ana majukumu ni msala.Wanasema maisha huanza 40, muda huo kama kuna vitu havijakaa sawa unaweza kuwa desperate
- Mwanamke 40s asie na mtoto
- Mwanaume 40s ambae kafulia
Umuuzie mbegu? Kivipi? Au upate mbunye ya bure?Kuna mmoja na mvizia hapa mkuu nimuuzie mbegu zangu apate angalao mtt mmoja now anagonga umri wa miaka 39.5 ,ananisumbua sana nimsaidiee apate mtt mmoja tu bac 😅😅😅
Usemalo ni kwel mkuu na hata wanaumee waliofiwa na wake zao mfano akiwa na miaka 50 na wtt c tegemeze sana labda kwakee na akaamua kutokuoa Tena nakujituliza na biashara ya ndoa Huwa pia nao wanadumu sana anaweza gonga hata 85 mpk 90 Nina mifano ya wazee wangu km wanne hv ,wake zao walitangulia kitambo wakatulia mpk ss wanaishi.Mwanaume anaweza survive ikiwa hana presha yeyote japo hela atakuwa hana. Ila kama ana majukumu ni msala.
Hio kweli mkuu, hata baba mkwe nae ni age hizo hizo ila yupo strong na ana mawe kweli😂 japo alifiwa miaka 16 iliopita.Usemalo ni kwel mkuu na hata wanaumee waliofiwa na wake zao mfano akiwa na miaka 50 na wtt c tegemeze sana labda kwakee na akaamua kutokuoa Tena nakujituliza na biashara ya ndoa Huwa pia nao wanadumu sana anaweza gonga hata 85 mpk 90 Nina mifano ya wazee wangu km wanne hv ,wake zao walitangulia kitambo wakatulia mpk ss wanaishi.
Wanawake Kuna namna wanatumaliza wanaumee kimkakati😅
Hahitaji mke uniweke cazee, nikamlee mkweo😜Hio kweli mkuu, hata baba mkwe nae ni age hizo hizo ila yupo strong na ana mawe kweli😂 japo alifiwa miaka 15 iliopita.
Mbunyee ya Bure mkuu Kwa mtu kilometer zimeshakimbia hvyo acha atoe Hela apate mtt 😅😅😅 ,ataki apite hv .ananiambiga zaman nilipokuwa chuo niliwaringia sana wanaumee na hata kote nilikofanya kazi niliwaringia wanaumee wt kumbe umri ckujua unaenda ,ss 39.5 hii hapa amejikuta Hana mtt na marafiki zake wt wanaishi Kwenye taasisi ya ndoa .yy anapambana apate hata mtt tu Kwa ss ndoa anakwambia n majaliwa 😅😅😅Umuuzie mbegu? Kivipi? Au upate mbunye ya bure?
Ipo wazi😅Hio kweli mkuu, hata baba mkwe nae ni age hizo hizo ila yupo strong na ana mawe kweli😂 japo alifiwa miaka 16 iliopita.
Naona hataki stress yeye anashusha mijengo tu sahizi😂 ana watoto 10 na kila mtoto ana tofali lake hataki watu wagombane akifa😅Hahitaji mke uniweke cazee, nikamlee mkweo😜
Demu hadi anafikisha 39 bila bila jua alikuwa na Ego ya maana😂 na kujiona mtu flani wa maana kabisa kumbe kilubwa tu. Muda haungopi yani wale wote kataa ndoa watakuja kulia na kusaga meno 😂😂😂Mbunyee ya Bure mkuu Kwa mtu kilometer zimeshakimbia hvyo acha atoe Hela apate mtt 😅😅😅 ,ataki apite hv .ananiambiga zaman nilipokuwa chuo niliwaringia sana wanaumee na hata kote nilikofanya kazi niliwaringia wanaumee wt kumbe umri ckujua unaenda ,ss 39.5 hii hapa amejikuta Hana mtt na marafiki zake wt wanaishi Kwenye taasisi ya ndoa .yy anapambana apate hata mtt tu Kwa ss ndoa anakwambia n majaliwa 😅😅😅
Mi simpi stress bana niweke cazee 🤣🤣🤣Naona hataki stress yeye anashusha mijengo tu sahizi😂 ana watoto 10 na kila mtoto ana tofali lake hataki watu wagombane akifa😅
Hahahahaha unaomba Sub kuleMi simpi stress bana niweke cazee 🤣🤣🤣
NAKAZIAMwanaume miaka 40 bado mbichi Sana
Anaweza akaongeza mapambano akatoboa .
Wewe niweke kwanza halafu tutajua mbele kwa mbele 😂😂😂Hahahahaha unaomba Sub kule
😂😂😂😂Muda n rfk mzuri sana Huwa aungopi mkuu.Demu hadi anafikisha 39 bila bila jua alikuwa na Ego ya maana😂 na kujiona mtu flani wa maana kabisa kumbe kilubwa tu. Muda haungopi yani wale wote kataa ndoa watakuja kulia na kusaga meno 😂😂😂