Mwanaume mwenye 40s aliyefulia vs Mwanamke mwenye 40s asie na mtoto, yupi mwenye stress zaidi?

Kuna mmoja na mvizia hapa mkuu nimuuzie mbegu zangu apate angalao mtt mmoja now anagonga umri wa miaka 39.5 ,ananisumbua sana nimsaidiee apate mtt mmoja tu bac 😅😅😅
 
Mwanaume anaweza survive ikiwa hana presha yeyote japo hela atakuwa hana. Ila kama ana majukumu ni msala.
Usemalo ni kwel mkuu na hata wanaumee waliofiwa na wake zao mfano akiwa na miaka 50 na wtt c tegemeze sana labda kwakee na akaamua kutokuoa Tena nakujituliza na biashara ya ndoa Huwa pia nao wanadumu sana anaweza gonga hata 85 mpk 90 Nina mifano ya wazee wangu km wanne hv ,wake zao walitangulia kitambo wakatulia mpk ss wanaishi.

Wanawake Kuna namna wanatumaliza wanaumee kimkakati😅
 
Hio kweli mkuu, hata baba mkwe nae ni age hizo hizo ila yupo strong na ana mawe kweli😂 japo alifiwa miaka 16 iliopita.
 
Mwanaume Broke 40's " noma Sana,

Ule msemo wa make money & lay low nadhani target kubwa ilikua kwa wanaume ambao n broke 40's, hawa watu maamuzi yao 99% yanakuaga ya kuforce
 
Mwanamke 40s Labda awe kwenye ndoa ndio atakuwa na stress, ila km yuko single anatafuta kijana wa kumlea huku wanaruka majoka..
 
Umuuzie mbegu? Kivipi? Au upate mbunye ya bure?
Mbunyee ya Bure mkuu Kwa mtu kilometer zimeshakimbia hvyo acha atoe Hela apate mtt 😅😅😅 ,ataki apite hv .ananiambiga zaman nilipokuwa chuo niliwaringia sana wanaumee na hata kote nilikofanya kazi niliwaringia wanaumee wt kumbe umri ckujua unaenda ,ss 39.5 hii hapa amejikuta Hana mtt na marafiki zake wt wanaishi Kwenye taasisi ya ndoa .yy anapambana apate hata mtt tu Kwa ss ndoa anakwambia n majaliwa 😅😅😅
 
Demu hadi anafikisha 39 bila bila jua alikuwa na Ego ya maana😂 na kujiona mtu flani wa maana kabisa kumbe kilubwa tu. Muda haungopi yani wale wote kataa ndoa watakuja kulia na kusaga meno 😂😂😂
 
😂😂😂😂Muda n rfk mzuri sana Huwa aungopi mkuu.
 
Back
Top Bottom