Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Maexpert wa kiume nawapa mchongo ambao wanaume wenye hekima tu ndio wanaielewa hii code
Mosi, mwanamke wako hatakiwi kujua hisia zako za ukweli kabisa,yes you heard me!
Fanya utakavyo fanya na ishi naye utakavyo ishi naye lakini mwanamke wako anatakiwa asikujue kabisa wewe ni mtu wa namna gani,yani anatakiwa asikuelewe kwa asilimia mia moja
Mwanamke kwa asilimia kubwa huwa hajui anataka nini kwahiyo kwakuwa hajui anataka nini basi na wewe mfanye asikujue wewe ni mtu wa namna gani,yani hapo utamfanya abakie njia panda na unakuwa na mvuto kwake
Kinyume chake akikujua kabisa wewe ni mtu wa namna fulani basi unaanza kumboa na unakuwa huna mvuto tena kwake,uwe sometime yes na sometime no yani haupoi
Sometime unampa ruhusa aende sehemu fulani na kuna nyakati hautoi ruhusa,yani ili mradi uwe haueleweki,kwa kufanya hivyo utakuwa na mvuto kwake
Ogopa sana mwanamke anataka labda kutoka na wenzake,badala ya kuja kwako kutaka ruhusa,pale pale anawaambia wenzake nitakuja tu kwasababu mume wangu wala huwa hana neno au hana shida, jua expert hapo amekujua kuwa wewe upo hivi kwahiyo naye atakuchukulia kihivyo
Code ya pili maexpert wenzangu,mwanamke wako anatakiwa asijue una fedha kiasi gani bank,yan ajue tu una hela lkn asijue kiasi halisi kabisa,mpende utakavyo mpenda lakini hapo mwamba usiweke wazi,la sivyo utamuona mwanamke wako ana tamaa kumbe wewe mwenyewe umehamsha tamaa yake
Kumbuka wanawake na pesa ni marafiki sana,kuna mwamba mmoja alikuwa anajisifu kuwa hakuna anayeweza kumla demu wake,ni jamaa kutoka huko kigamboni kwa akina Vincenzo Jr
Wadau wakamwambia kwahiyo unajiamini kabisa tubet,jamaa akasema ruhsa,kama unavyojua kwakuwa wamba wanajua udhaifu wa wanawake,basi mwamba mmoja akamtokea demu na kumpa shilingi 500,000/=
Kilichofuatia hapo dem alifanywa kitoeo safi kabisa,kwahiyo wakati mwingine ni sisi wenyewe tunatengeneza mazingira ya kupigwa mizinga,kuna uzi mmoja nilisoma juzi kati wa expert mmoja hivi,anasema demu aliomba hela ya kwenda saluni akampa 80,000
Sasa asichojua huyo expert ni kwamba dem alimpigia ramli jamaa akajua kama saluni ametoa hii basi huyu jamaa ni mtamu,siku ya pili si akaletewa mkeka wa gharama kibao,matokeo yake mwamba kashusha uzi kueleza malalamiko yake
Na hapo hajajua account yako inasomaje,je akijua si utajifia bure wewe!!!
Ni hayo tu!