Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Mwamba umeongea ukweli mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf kichaka Unaweza Kuta mtoa mada Yuko bar muda huu anagida pombe kupunguza stress za mapenz.View attachment 3202586
Maexpert wa kiume nawapa mchongo ambao wanaume wenye hekima tu ndio wanaielewa hii code
Mosi, mwanamke wako hatakiwi kujua hisia zako za ukweli kabisa,yes you heard me!
Fanya utakavyo fanya na ishi naye utakavyo ishi naye lakini mwanamke wako anatakiwa asikujue kabisa wewe ni mtu wa namna gani,yani anatakiwa asikuelewe kwa asilimia mia moja
Mwanamke kwa asilimia kubwa huwa hajui anataka nini kwahiyo kwakuwa hajui anataka nini basi na wewe mfanye asikujue wewe ni mtu wa namna gani,yani hapo utamfanya abakie njia panda na unakuwa na mvuto kwake
Kinyume chake akikujua kabisa wewe ni mtu wa namna fulani basi unaanza kumboa na unakuwa huna mvuto tena kwake,uwe sometime yes na sometime no yani haupoi
Sometime unampa ruhusa aende sehemu fulani na kuna nyakati hautoi ruhusa,yani ili mradi uwe haueleweki,kwa kufanya hivyo utakuwa na mvuto kwake
Ogopa sana mwanamke anataka labda kutoka na wenzake,badala ya kuja kwako kutaka ruhusa,pale pale anawaambia wenzake nitakuja tu kwasababu mume wangu wala huwa hana neno au hana shida, jua expert hapo amekujua kuwa wewe upo hivi kwahiyo naye atakuchukulia kihivyo
Code ya pili maexpert wenzangu,mwanamke wako anatakiwa asijue una fedha kiasi gani bank,yan ajue tu una hela lkn asijue kiasi halisi kabisa,mpende utakavyo mpenda lakini hapo mwamba usiweke wazi,la sivyo utamuona mwanamke wako ana tamaa kumbe wewe mwenyewe umehamsha tamaa yake
Kumbuka wanawake na pesa ni marafiki sana,kuna mwamba mmoja alikuwa anajisifu kuwa hakuna anayeweza kumla demu wake,ni jamaa kutoka huko kigamboni kwa akina Vincenzo Jr
Wadau wakamwambia kwahiyo unajiamini kabisa tubet,jamaa akasema ruhsa,kama unavyojua kwakuwa wamba wanajua udhaifu wa wanawake,basi mwamba mmoja akamtokea demu na kumpa shilingi 500,000/=
Kilichofuatia hapo dem alifanywa kitoeo safi kabisa,kwahiyo wakati mwingine ni sisi wenyewe tunatengeneza mazingira ya kupigwa mizinga,kuna uzi mmoja nilisoma juzi kati wa expert mmoja hivi,anasema demu aliomba hela ya kwenda saluni akampa 80,000
Sasa asichojua huyo expert ni kwamba dem alimpigia ramli jamaa akajua kama saluni ametoa hii basi huyu jamaa ni mtamu,siku ya pili si akaletewa mkeka wa gharama kibao,matokeo yake mwamba kashusha uzi kueleza malalamiko yake
Na hapo hajajua account yako inasomaje,je akijua si utajifia bure wewe!!!
Ni hayo tu!
Expert umetisha sana😂😂Jf kichaka Unaweza Kuta mtoa mada Yuko bar muda huu anagida pombe kupunguza stress za mapenz.
We kibaka hivi nimekusikia ukisema eti utumie pesa zangu kujifake saloon??Kwaiyo 80 ni hela kubwa sana kumpa mwanamke Kwa ajil ya urembo apendeze wengine wakiwahudumia mnawaona wanapenda mate yanawajaa
Wanaume tafuten hela achen visingizio kama huwez hudumia mke wako achen kuja huku kulia mpate huruma za wengine
Bro acha kujibizana na limalaya!! Haya ndio yale yanayoposti video Tiktok yanatikisa matako..tu tafute hela? we hujui kutafuta hela? mbali na uchi mwanamke ana nini cha ziada? nidhamu ya pesa ndo msingi kwa mwanaume yeyote yule
Shida ni moja siku hizi malaya wanalipiwa mpaka mahari na kuveshwa pete na mashela juu watu ambao walitakiwa kunyanyapaliwa na kubaki kama kibebeo cha shahawa za mashetani wenzao..Kama ni mtu sahihi na ni WA kwako huwezi complicate maisha yenu!
Tatizo tunawapata wasio sahihi na sio wa kwetu ndio maana kanuni kibao kama za hesabu!
Mentality inayorithiwa na kizazi Cha Sasa kwamba mwanamke anatoa uchi Hadi apate kwanza Hela ya mwanamme ndio atoe au atoe kwanza Hela ndio apewe uchi!HII MENTALITY NI YA KISHETANI NA SIO KANUNI HALISI YA MAISHA YALIVYOPASWA KUWA!
MWANAMKE LAZIMA AJIFUNZE KUJITEGEMEA KWANZA MWENYEWE KWA KAZI BINAFSI BILA KUTEMEA UCHI WAKE KAMA NDOANO YA KUPATA KITU TOKA KWA MWANAMME!!
MITHALI 31 INAMUONYESHA NAMNA MKE MWEMA ANAVYOPASWA KUWA MCHAPAKAZI KAMA MERIKEBU YA CHAKULA NA SIO MVIVU MACHO JUU JUU ILI AVUNE MAPESA TOKA KWA MWANAMME!
Japo ni ukweli mchungu lakini ndicho kinachpaswa kusemwa wazi kabisa na mabinti wajifunze!Shida ni moja siku hizi malaya wanalipiwa mpaka mahari na kuveshwa pete na mashela juu watu ambao walitakiwa kunyanyapaliwa na kubaki kama kibebeo cha shahawa za mashetani wenzao..
Utopolo mtupu. Kwanini kuna viumbe kama wewe wanaojiona wakamilifu wakati ni hovyo. Kama umemuamini kukuzaa, kukulea, kukutawaza, na kukufanya wewe, huoni unachosema ni utopoloooo mwanangu?View attachment 3202586
Maexpert wa kiume nawapa mchongo ambao wanaume wenye hekima tu ndio wanaielewa hii code
Mosi, mwanamke wako hatakiwi kujua hisia zako za ukweli kabisa,yes you heard me!
Fanya utakavyo fanya na ishi naye utakavyo ishi naye lakini mwanamke wako anatakiwa asikujue kabisa wewe ni mtu wa namna gani,yani anatakiwa asikuelewe kwa asilimia mia moja
Mwanamke kwa asilimia kubwa huwa hajui anataka nini kwahiyo kwakuwa hajui anataka nini basi na wewe mfanye asikujue wewe ni mtu wa namna gani,yani hapo utamfanya abakie njia panda na unakuwa na mvuto kwake
Kinyume chake akikujua kabisa wewe ni mtu wa namna fulani basi unaanza kumboa na unakuwa huna mvuto tena kwake,uwe sometime yes na sometime no yani haupoi
Sometime unampa ruhusa aende sehemu fulani na kuna nyakati hautoi ruhusa,yani ili mradi uwe haueleweki,kwa kufanya hivyo utakuwa na mvuto kwake
Ogopa sana mwanamke anataka labda kutoka na wenzake,badala ya kuja kwako kutaka ruhusa,pale pale anawaambia wenzake nitakuja tu kwasababu mume wangu wala huwa hana neno au hana shida, jua expert hapo amekujua kuwa wewe upo hivi kwahiyo naye atakuchukulia kihivyo
Code ya pili maexpert wenzangu,mwanamke wako anatakiwa asijue una fedha kiasi gani bank,yan ajue tu una hela lkn asijue kiasi halisi kabisa,mpende utakavyo mpenda lakini hapo mwamba usiweke wazi,la sivyo utamuona mwanamke wako ana tamaa kumbe wewe mwenyewe umehamsha tamaa yake
Kumbuka wanawake na pesa ni marafiki sana,kuna mwamba mmoja alikuwa anajisifu kuwa hakuna anayeweza kumla demu wake,ni jamaa kutoka huko kigamboni kwa akina Vincenzo Jr
Wadau wakamwambia kwahiyo unajiamini kabisa tubet,jamaa akasema ruhsa,kama unavyojua kwakuwa wamba wanajua udhaifu wa wanawake,basi mwamba mmoja akamtokea demu na kumpa shilingi 500,000/=
Kilichofuatia hapo dem alifanywa kitoeo safi kabisa,kwahiyo wakati mwingine ni sisi wenyewe tunatengeneza mazingira ya kupigwa mizinga,kuna uzi mmoja nilisoma juzi kati wa expert mmoja hivi,anasema demu aliomba hela ya kwenda saluni akampa 80,000
Sasa asichojua huyo expert ni kwamba dem alimpigia ramli jamaa akajua kama saluni ametoa hii basi huyu jamaa ni mtamu,siku ya pili si akaletewa mkeka wa gharama kibao,matokeo yake mwamba kashusha uzi kueleza malalamiko yake
Na hapo hajajua account yako inasomaje,je akijua si utajifia bure wewe!!!
Ni hayo tu!
Mabinti na vivulana vinatoka na akili za vipanya huko vyuoni vinadhani kuwa ndio usasa na akili sana inatia huruma sana..Japo ni ukweli mchungu lakini ndicho kinachpaswa kusemwa wazi kabisa na mabinti wajifunze!
Dhana ya toa uchi pata pesa au huduma ni kuhalalisha ukahaba ndani ya jamii!!
Kuhudumia familia sio jukumu la mine pekee kama inavyohubiriwa Dana Leo hii Bali uwajibikaji was pamoja!!!
Ukiyasoma maandiko vizuri wanawake mashujaa kama kina dorkasi na wengineo utagundua walikua wachapakazi kweli kweli Hadi waume zao wanajivunia kama mithali 31,
Leo mwanamke anatafuta mwanamme mwenye hela ili ahudumiwe yeye akitoa uchi huo ni ushetani mkuu na malezi duni katika maisha!!!
Sasa huyo ni mama yangu, kwa nafasi yake atabaki kuwa mamaUtopolo mtupu. Kwanini kuna viumbe kama wewe wanaojiona wakamilifu wakati ni hovyo. Kama umemuamini kukuzaa, kukulea, kukutawaza, na kukufanya wewe, huoni unachosema ni utopoloooo mwanangu?
Wewe mkeo kakuzaa??Utopolo mtupu. Kwanini kuna viumbe kama wewe wanaojiona wakamilifu wakati ni hovyo. Kama umemuamini kukuzaa, kukulea, kukutawaza, na kukufanya wewe, huoni unachosema ni utopoloooo mwanangu?
Kwani mama yako ni mwanaume. Je baba yako angekuwa na utopolo kama huu ungekuwa wapi? Kwanini unafikiri kinyume mwanangu?Sasa huyo ni mama yangu, kwa nafasi yake atabaki kuwa mama
Hapa expert tunazungumzia wake zetu wanawake zetu
Afadhali umenisaidia expert,maana naona ananichanganyaWewe mkeo kakuzaa??
Wale wanaojiuza pale mnyamani pub pale wamekutawaza??
Au unaruka ruka tu hapa na ujuaji wako na pombe za kupima kichwani..?
A single maza is and will never be younger than youMkuu nimefall kwa singo maza she is younger than me
Kwani shida iko wapi expertMkuu nimefall kwa singo maza she is younger than me
🤣Men she is 21 mkuu how can you say ni mkubwa kwangu kisa kazaa bossA single maza is and will never be younger than you
To eternity.. watch that.
Kwsababu ana mtoto au 😂😂A single maza is and will never be younger than you
To eternity.. watch that.