Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Nyakati hizi unalala na kuzima kabisa bila pesa!Laza mshale.
Yaani...!Happy birthday ni ya Yesu wao wanataka zawadi za nini
Waalike wote pamoja uwapige fivesomes mkuuMwanaume yeyeote atanielewa!
Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana
Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani.
Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso!
Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya!
Mamsapu yeye aliniambia hana makuu, gauni jipya tu linamtosha sikukuu hii!
Asubuhi hii nimepigiwa simu na Salome, yeye anauliza tu umepona? maana ulisema ulikuwa unaumwa(ilikuwa kukwepa majukumu!)
Watoto ndo hao, tayari hela niliyokopa nimewanunulia nguo.
Haya majukumu mengine sijui nani nikamkope....!
Jamani uanaume wakati wa sikukuu ni shida sana.
Heri Chrismassi iahirishwe!!
Mzee, utajitakia RIP kabla ya 2026....!Waalike wote pamoja uwapige fivesomes mkuu
Kaka umeoa Na bado unawapenz nje ya ndoa, lazima ufirisike msimu huu wa holidaysMwanaume yeyeote atanielewa!
Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana
Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani.
Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso!
Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya!
Mamsapu yeye aliniambia hana makuu, gauni jipya tu linamtosha sikukuu hii!
Asubuhi hii nimepigiwa simu na Salome, yeye anauliza tu umepona? maana ulisema ulikuwa unaumwa(ilikuwa kukwepa majukumu!)
Watoto ndo hao, tayari hela niliyokopa nimewanunulia nguo.
Haya majukumu mengine sijui nani nikamkope....!
Jamani uanaume wakati wa sikukuu ni shida sana.
Heri Chrismassi iahirishwe!!
King Mswati wa Eswatini.....!Kaka umeoa Na bado unawapenz nje ya ndoa, lazima ufirisike msimu huu wa holidays
Kosa ni la kwako kutengeneza circle kubwa na wanawake masikini wenye tamaa ya kuishi beyond their means.Mwanaume yeyeote atanielewa!
Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana.
Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani.
Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso!
Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya.
Mamsapu yeye aliniambia hana makuu, gauni jipya tu linamtosha sikukuu hii.
Asubuhi hii nimepigiwa simu na Salome, yeye anauliza tu umepona? maana ulisema ulikuwa unaumwa(ilikuwa kukwepa majukumu!)
Watoto ndo hao, tayari hela niliyokopa nimewanunulia nguo.
Haya majukumu mengine sijui nani nikamkope....!
Jamani uanaume wakati wa sikukuu ni shida sana.
Heri Chrismassi iahirishwe!!
Ndo maana nasubiria xmass na mwaka mpya zipite I can't have a woman right now 😅Mwanaume yeyeote atanielewa!
Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana.
Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani.
Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso!
Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya.
Mamsapu yeye aliniambia hana makuu, gauni jipya tu linamtosha sikukuu hii.
Asubuhi hii nimepigiwa simu na Salome, yeye anauliza tu umepona? maana ulisema ulikuwa unaumwa(ilikuwa kukwepa majukumu!)
Watoto ndo hao, tayari hela niliyokopa nimewanunulia nguo.
Haya majukumu mengine sijui nani nikamkope....!
Jamani uanaume wakati wa sikukuu ni shida sana.
Heri Chrismassi iahirishwe!!
Wapo wanawake wengi sana bado hawachotwa akili na hii trend ya relationship commercialization, ni vetting yako tu.Ndo maana nasubiria xmass na mwaka mpya zipite I can't have a woman right now 😅
Mzee uko aloof, si mtu ya watu!!Kosa ni la kwako kutengeneza circle kubwa na wanawake masikini wenye tamaa ya kuishi beyond their means.
Mimi wanawake ambao hata wana namba yangu ni ndugu zangu na washiriki wangu wa kikazi na biashara.
Infact hata wanawake wa mtaani na maeneo mengine nanapokutana nao hawana uhuru wa kuniletea mazoea ya kipumbavu. Standards na boundaries nilizojiwekea ni ngumu sana kwa vikina dada vya hovyo kunisogelea. Wataishia tu kuulizia habari zangu kwa watu lakini kuni-face mimi mwenyewe hawawezi
Ni kweli lakini ukisha kua utaelewa wanawake wote wako sawa-commercial interests over sex.Wapo wanawake wengi sana bado hawachotwa akili na hii trend ya relationship commercialization, ni vetting yako tu.
Hilo nalijua siku nyingi. Financially mwanaume ananunua sex, lakini sasa ukilazimisha kwenda juu ya uwezo wako hapo ndipo unakua mjinga au simp. A woman can sense your desperation and use that as a leverage.Ni kweli lakini ukisha kua utaelewa wanawake wote wako sawa-commercial interests over sex.