Mwanaume mwenzangu, mkeo kukunyima unyumba nje ya dharura za kibinadamu ni dharau kubwa sana

Mpwa umetisha
 
Badilisha mbinu. Acha kumparamia, anakataa kwasababu unamuumiza hasikii raha yoyote.
Au pia labda ana mawazo
.humuhudumii ipasavyo.

Sababu ya mwisho kabisa inawezekana kuna mtu mwingine anampa. Na hii inatokana na hizo sababu mbili hapo juu.
 
Badilisha mbinu. Acha kumparamia, anakataa kwasababu unamuumiza hasikii raha yoyote.
Au pia labda ana mawazo
.humuhudumii ipasavyo.

Sababu ya mwisho kabisa inawezekana kuna mtu mwingine anampa. Na hii inatokana na hizo sababu mbili hapo juu.
Hakuna sababu inayohalalisha kuwa malaya.....kama unahisi huitaji ndoa dai talaka ni haki yako kwani ndoa jambo la khiyari na sio kufanya umalaya
 
Asante, naishia hapa kusoma comments.
 
Yap Yap, inabidi ufukuze, watoto wako, miaka 10,na mwingine 5,utalea mwenyewe, au ikibidi weka house girl, kikazi, upo mkoa tofauti, nyumbani umeacha house girl na binti zako wadogo, house maid, akiingiza nje MBA usiku, wala usijari binti zako watakuwa salama tu, we utakuwa unakuja likizo kuwaona,au panga nyumba kubwa, uishi nao,nyumba yako pangisha, na kwa kazi zetu za kuhama hama, utajikuta upo mbali tena,
Well it is easier said than done, inategemea mnaishi vipi, sehemu moja, au mwingine yupo mkoa, kwangu Mimi, Bora ninyimwe Mambo, lakini anaangslia watoto for, kuliko kuweka maisha ya watoto hatarini kwa kulelewa na house girl, kisa tu nimenyimwa Mambo,
At 30s, asingeweza kuninyima, akigoma haha maguvu natumia, lakini at 40+, na Mambo ya kutafuta fwedha,what the heck! Na watoto wapo chuo,au boarding, why bother,
 
Nimechagua kuyaheshimu maoni yako kikubwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…