Mwanaume mwenzangu, mkeo kukunyima unyumba nje ya dharura za kibinadamu ni dharau kubwa sana

Mwanaume mwenzangu, mkeo kukunyima unyumba nje ya dharura za kibinadamu ni dharau kubwa sana

Umenikosea adabu kunijibu kama ke.

Binafsi nimechangia coz liliwahi nigombanisha na wife ila baada kujua tatizo nikaweka mambo sawa.
Niwie radhi ndugu yangu......

Sikuwa na maanisha kuwa wewe ni ke....nimejibu kama kuainisha ingawa nimejikwaa kwenye uandishi...... niwie radhi ndugu....mkono umeteleza kibinadamu
 
Si anakupendaaa
Hahah so funny

Mwanamke analala na mwanaume kwasababu kuu mbili either anampenda or anamheshimu.

Akilala nje jua hakupendi na anampenda anayempelekea kuliko wewe or hakuheshimu na anamheshimu anayempelekea kuliko wewe.

Huo uongo uliongea hapo kadanganye watoto wadogo wasiojua wanawake.
 
Ananipenda why hanipi anampa mwingine?

And why akiwa anaumwa haendi huko Kwa mwingine anabakia kwangu nimuulize

Sometimes wanawake mnatuvuruga akili

And possibly huyo mwingine ni mume wa mtu
Sasa mke wa mtu utakuwa na mchepuko usio na ndoa?? Ili a-fall inlove aunguze picha??
 
Back
Top Bottom