Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Ijalishi ni tajiri au maskini ila haya ndio mambo ambayo unatakiwa kujua mapema.
1.MUDA
Wanaume tumekuwa tukitumia mda mwingi kupambania maisha yetu na mda mwengine kupumzika kwa kuburudika bar,kuangalia mpira au safari za utafutaji.Hapa usitegemee mwanamke kukuvumilia kama mda wako ukikosekana kuna wengine watautumia.
2.PESA
Pesa na muda ni baba na mtoto ndio maana nimetenganisha ila wanaingiliana.
Utafutaji wa pesa kwa wale wanaojipigania wafanikiwe .Utumia mda mwingi kutafuta,hapo usitegemee kwa mwanamke.
2.Aina za kazi.
Kuna kazi automatic zitakufanya kujuta kujiingiza na mahusiano.
1.Madereva wa magari ya kusafiri mbali aina zote.
2.Rubani na Naodha,dereva wa treni.
3.Ubaharia.
4.Mwanajeshi kama kipindi cha vita au kutumwa misheni.
Ukikusanya haya mambo utaelewa kwa nini wanaume wengi ujikuta wamecheatiwa na wanawake zao.