Mwanaume mwenzangu ukiona haya mambo umeshindwa kutimiza achana na kuoa au kuweka mwanamke ndani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ijalishi ni tajiri au maskini ila haya ndio mambo ambayo unatakiwa kujua mapema.

1.MUDA
Wanaume tumekuwa tukitumia mda mwingi kupambania maisha yetu na mda mwengine kupumzika kwa kuburudika bar,kuangalia mpira au safari za utafutaji.Hapa usitegemee mwanamke kukuvumilia kama mda wako ukikosekana kuna wengine watautumia.

2.PESA
Pesa na muda ni baba na mtoto ndio maana nimetenganisha ila wanaingiliana.
Utafutaji wa pesa kwa wale wanaojipigania wafanikiwe .Utumia mda mwingi kutafuta,hapo usitegemee kwa mwanamke.

2.Aina za kazi.
Kuna kazi automatic zitakufanya kujuta kujiingiza na mahusiano.

1.Madereva wa magari ya kusafiri mbali aina zote.
2.Rubani na Naodha,dereva wa treni.
3.Ubaharia.
4.Mwanajeshi kama kipindi cha vita au kutumwa misheni.

Ukikusanya haya mambo utaelewa kwa nini wanaume wengi ujikuta wamecheatiwa na wanawake zao.
 
Uweke muda wako, hata utoe pesa unavyoweza, usiwe na kazi tajwa hapo. Mtu akiamua kukusaliti atakusaliti tu haijalishi. Akiamua kuwa na wewe tu ameamua
Usaliti kuna ule wa kuzaliwa nao na ule utatengeneza we mwenyewe.

Kesi za madereva wa malori ni wengi wanalia sana
 
Uweke muda wako, hata utoe pesa unavyoweza, usiwe na kazi tajwa hapo. Mtu akiamua kukusaliti atakusaliti tu haijalishi. Akiamua kuwa na wewe tu ameamua.
Baba angu alikua anasafiri kwenda kongo for six month Hadi mwaka lakini mama alisimama kidete hakuwahi kugombana nae Kwa ujinga wowote labda mambo mengine, tumuombee MUNGU atujalie wanawake wema inshallah
 
Sidhani kama kuna mwanamke atakaa muda mrefu akisubiria mume wake arudi huko alikoenda kikazi. Muda ni mrefu mno hasa safari za malori ya mizigo ya nje ya nchi, ruti za ndege/meli. Na we mwanaume mwenye kazi hizo kuwa mpole tu na ujue kuna njemba itatafuna mke wako tu ukiwa haupo, taka usitake
 
Zamani ilikuwa kijana akioa anaacha mke kwao, yaani nyumbani kwa mwanaume, jamaa anaenda zake mbali huko kikazi huku anajua mke wake yuko salama kwao, hata wakila ndugu zake wakamtia mimba haina noma mtoto atakuwa ni wa jamaa mwenye mke. Huu ushauri ni mzuri kama hutaki kuchanganya madesa kwenye boma lako
 
Hakika! mkuu
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema mahusiano yoyote ambayo wahusika wanaweza kukaa miezi miwili bila kuonana lazima mwanamke atakua anagawa uroda sehemu ingine
 
Mapenzi siyo kipaumbele kwangu na kwa watu wote wenye akili nyingi
 
Upo zako unamgonga manzi ya mtu huna hili wala lile mara ghafla tu anaanza kuimba kwa miguno kitandani "oooh jamani mbona unanitomba sana jamani yaan aahhshi hata mume wangu hua hanitombagi hivi... ooh nitombee nitombe sana" mara chuma kimechomoka anakikimbilia akichomeke tena anaanza kulia tena

Oya au ngoja niishie hapa wakazeni vizuri wake zenu wanayaweka madhaifu yenu huku nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…