Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

Tatizo linaanza pale unapojiaminisha mwanamke ni malaika wako tu. Mwanamke anaweza kuwa malaika na anaweza kuwa shetani.

Kuna stage, haswa ya ujana 30-45 ishi na mwanamke kama unasafiri na gari linalochemsha. Always unakuwa macho kwenye dashboard na una geleni la maji.

Kuanzia age ya 50 mara chache sana mwanamke atakuzalilisha, labda awe mchawi au uwe na mapungufu makubwa.
Kweli
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Unazani kuishi na mke ni kazi ndogo? Kuna watu nje utaona ni mke na mme, huko ndani wanaishi kama kaka na dada hivyo ukiona yametoka nje huko ndani kumeoza wametunziana siri sasa kikombe kimefurika
 
Back
Top Bottom