Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

Inauma sana.

Hebu piga picha ,
  • Wewe ndo umetongoza,
  • Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha,
  • Wewe ndo umetoa mahari,
  • Wewe ndo unaanda sherehe,
  • Mke unamkaribisha nyumbani kwako,
  • Wewe ndo umempa heshima mkewe kwa jamii,
  • Wewe ndo unamuhudumia mkeo,
  • Kitandani mnafurahi wote,
  • Mnapata watoto ni wenu wote,
  • Ila Baba ndo unahudumia watoto kila kitu,

- Unamnunulia gari mkeo, na mafuta unajaza halafu mkeo anapeleka tunda kwa kidume kingine daaa inauma, Na huko anabemba mimba afu anakuja kukupa wewe yani anakundanganya kuwa ni wako.Ukijua kuwa sio wako anaaza Hoo bahati mbaya sijiu nini, viongozi wa dini na watu wengine hasa wanawake wanakushauri msamehe mkeo, amejutia.

Na wengine wanakuambia tu fanya maamuzi ambayo hayataharibu ndoa yako. HIVI WANAJUA KWELI MAUMIVU SISI WANAUME TUNAYOPATA KWELI.

Hii ilitokea Nigeria bhana, wadada wanaofanya kazi benk na mabosi wao.

Huyu jamaa anaitwa MOYO THOMAS mkewe alizaa watoto 2 na MD wa benk ya First City Monument Bank (FCMB) anaitwa ADAM NURU , na MD wa benk alikuwa anasafiri sana na dada huyo nje ya nchi, mkewe aliacha kazi kwenye hio benk na kukimbilia USA, mume wake akaja kumwambia kuwa watoto wangu sio wako ni wa MD. yule jamaa alipata depression ila walifanikiwa kuimanage akawa sawa. Ila MD alishushwa cheo coz ya ile scandal.

Jamaa MOYO THOMAS Akatafuta binti mwingine akaingia kwenye mahusiano nae ila akaja kufa baada ya miaka miwili, walisema kifo kilisabaishwa na depression aliyopata miaka miwili nyuma.

Ila alimwacha mchumba mpya na ujauzito. Wadada wa benk sio poa.

View attachment 2641191
View attachment 2641192
View attachment 2641193
MOYO THOMAS aliwapenda watoto wake sana mpaka kuwapeleka DUBAI kutembea nao, ili watoto wafurahi akiamini watoto watoto ni wake lakini sio wake.

Mimi mke wangu nilijua kwa sababu mtoto alikuwa mweupe , nashukuru mke wangu ulinicheat na njemba mweupe maana angekuwa mweusi kama mimi na wewe ningekuwa nalea mda huu tena wa kiume, mimi ningemjali sana hata kuliko wa kwanza wa kike. Daaa so pain friend.

Hivi huyo Dada aliyekuwa huko USA ex wife wa MOYO THOMAS.
alihali gani japo aliapply green card ali apate uraia wa USA na watoto wake. Je anafuraha kweli , sijui yeye mwenyewe ndo anajua.

JAMANI AKINA DADA MNAPENDA KUOLEWA SANA, BASI KUWA MTULIVU BASI HATA UKICHEPUKA BASI USILETE MTOTO NDANI YA NYUMBA.
[emoji848][emoji25]
Screenshots_2023-06-14-16-56-49.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi sikiliza tbc "ASILIMIA 49 ya watoto kwenye familia tz baba zao sio halisi wa familia hizo"!!

Kuna wangu MMOJA alizaliwa white wakati sisi ni black!!

Bahati nzuri HUWA sitilii mkazo sana!

Nina ndoto zangu za kupigania nisije ishia KWA korokoro bure!!!
 
  • Wewe ndo umetongoza,
  • Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha,
  • Wewe ndo umetoa mahari,
  • Wewe ndo unaanda sherehe,
  • Mke unamkaribisha nyumbani kwako,
  • Wewe ndo umempa heshima mkewe kwa jamii,
  • Wewe ndo unamuhudumia mkeo,
  • Kitandani mnafurahi wote,
  • Mnapata watoto ni wenu wote,
  • Ila Baba ndo unahudumia watoto kila kitu,[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- Unamnunulia gari mkeo, na mafuta unajaza halafu mkeo anapeleka tunda kwa kidume kingine daaa inauma, Na huko anabemba mimba afu anakuja kukupa wewe yani anakundanganya kuwa ni wako.Ukijua kuwa sio wako anaaza Hoo bahati mbaya sijiu nini, viongozi wa dini na watu wengine hasa wanawake wanakushauri msamehe mkeo, amejutia.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wengine wanakuambia tu fanya maamuzi ambayo hayataharibu ndoa yako. HIVI WANAJUA KWELI MAUMIVU SISI WANAUME TUNAYOPATA KWELI.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mwana baada ya mkewe kujifungua hakustuka tu kuwa hana ufanano wowote na hao watoto.

Hao watoto ni copy kabisa ya MD,...Lazima ustuke wewe muha wa kigoma halafu watoto wanatoka wana rangi ya kanjibhai.
 
Back
Top Bottom