Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

Kweli
 
Reactions: Tsh
Unazani kuishi na mke ni kazi ndogo? Kuna watu nje utaona ni mke na mme, huko ndani wanaishi kama kaka na dada hivyo ukiona yametoka nje huko ndani kumeoza wametunziana siri sasa kikombe kimefurika
 
Sijawah kusumbuka au kumwamini mwanamke ambaye sijamkuta bikra!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…