Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

....kwa hizi uno nyingi na za ukweli nilizokuta zimetapakaa kila kona kwenye hili jiji la Mwanza halafu hazina usumbufu kwenye kukubali sidhani kama nitakuja kusumbua akili hadi nipate Depression na kitu inaitwa Mwanamke.
 
Hata nyinyi wenyewe unalala juu ya vifua vya wanawake wengine unafikili atuumii na sisi.
hamjaumbiwa kuumia ila mnajiumiza wenyewe tu...kwani wale wanaoruhusiwa kuolewa hadi wa4 na Mwanaume mmoja ndani ya nyumba moja sio wananawake ? hata kwa wanyama ushaona wanyama wadada wana-complain kuliwa mbususu na kidume mmoja.
 
Ukumchunguza sana bata utashindwa mla
 
Serikali ikisema wanandoa tufanye DNA Test bure, familia moja baada ya moja kama tunaomba kitambulisho cha NIDA, " Wanaume wengi tutakimbia kichaa".

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa alikufa kwa ujinga wake mwenyewe. Mwanamke, hata mke wa ndoa, si wa kumchulia serious kihivyo. Wanawake ni MBWA!
 
Haya mambo yasikie Kwa jirani tu ila yakikukuta usiombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…