Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

[emoji848][emoji25]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi sikiliza tbc "ASILIMIA 49 ya watoto kwenye familia tz baba zao sio halisi wa familia hizo"!!

Kuna wangu MMOJA alizaliwa white wakati sisi ni black!!

Bahati nzuri HUWA sitilii mkazo sana!

Nina ndoto zangu za kupigania nisije ishia KWA korokoro bure!!!
 
  • Wewe ndo umetongoza,
  • Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha,
  • Wewe ndo umetoa mahari,
  • Wewe ndo unaanda sherehe,
  • Mke unamkaribisha nyumbani kwako,
  • Wewe ndo umempa heshima mkewe kwa jamii,
  • Wewe ndo unamuhudumia mkeo,
  • Kitandani mnafurahi wote,
  • Mnapata watoto ni wenu wote,
  • Ila Baba ndo unahudumia watoto kila kitu,[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- Unamnunulia gari mkeo, na mafuta unajaza halafu mkeo anapeleka tunda kwa kidume kingine daaa inauma, Na huko anabemba mimba afu anakuja kukupa wewe yani anakundanganya kuwa ni wako.Ukijua kuwa sio wako anaaza Hoo bahati mbaya sijiu nini, viongozi wa dini na watu wengine hasa wanawake wanakushauri msamehe mkeo, amejutia.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wengine wanakuambia tu fanya maamuzi ambayo hayataharibu ndoa yako. HIVI WANAJUA KWELI MAUMIVU SISI WANAUME TUNAYOPATA KWELI.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mwana baada ya mkewe kujifungua hakustuka tu kuwa hana ufanano wowote na hao watoto.

Hao watoto ni copy kabisa ya MD,...Lazima ustuke wewe muha wa kigoma halafu watoto wanatoka wana rangi ya kanjibhai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…