fh kwenye beat
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 493
- 608
Nimeangukiwa na vitu vizito takuwa nikihitaji nanunua tu baada ya miezi miwiliTaratibu mkuu,nini kimekukuta🤣🤣🤣🤣🤣 braza.
Na wakizipata watatumia na wanawake wazuri wenye shape, nywele za chotara, chuchu saa sita sio nyie kuku wa kienyeji.Tafuteni pesa acheni kulalamika
Ndio uanaume huo🤣🤣🤣 jikaze muhenga mwezanguWanawake wamefanya me bibi yao sasa sitaki mwanamke yoyite
Nimeangukiwa na vitu vizito takuwa nikihitaji nanunua tu baada ya miezi miwili
Kaaa chonjo mkuuuBahati yako ni dume
Kaaa chonjo mkuuu
Ukiwa ulipatwa ulikuwa sehemu ya wajinga, wanaume wa ukweli hawakamatwi na vislay queenKaa kwa kutulia hujapatwa bado... Kama wew hujapitia maswala haya huwezi elewa, binfasi siwadharau wala kuwashangaa that's life.
Umeiweka vyema! Kuna umuhimu wa kutengenisha majukwaa na Hawa watotooKaa kwa kutulia hujapatwa bado... Kama wew hujapitia maswala haya huwezi elewa, binfasi siwadharau wala kuwashangaa that's life.
Huo ni uvulana ukishatoka hapo ndipo sasa unakuja katika uanaume.Kaa kwa kutulia hujapatwa bado... Kama wew hujapitia maswala haya huwezi elewa, binfasi siwadharau wala kuwashangaa that's life.