Mtakula mashine? Mwanaume pesa bhana, mashine kasagie nafaka Kolomije!"Mwanaume mashine"
Hizo nyingine mbwembwe
Naona mmeanza kutusema....!Hahahaaa. Msg sent lol.
Nimecheka hiyo ya kutoa tyre walio wengi wanajua kuendesha tu na huwa ikifikia hiyo hali mpaka wawapigie simu mafundi wao waje kuwatolea na hata wale wanaoweza huwa hawatakagi kuchafuka.
Hatari sana Mbiti.
hamueleweki mbona wa hivi wabeba mizigo wamejaa ubungo bus stand wakiwasimamisha mnakimbia eti wananuka vikwapa mmetuchosha na kutokijatambua kwenu..Mnashinda kukimbilia wenye magari leo mnasema mwataka wakata fensi na wapiga jeki ahahahhaaa mpaka mjitambue kiama kimefikaLa mwisho mwanaume halisia ni yule anaejua jiografia ya mwanamke... yaan yule anaejua nn anatakiwa kufanya kwenye mwili wa mwanamke(hapa naomba nitie msisitizo kwel kweli)
- Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
- Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
- Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
- Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
- Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU
UNSPECIFIED
@akiliZaDesperado
Hahhaaaa. Jirani yaani leo tunawasema kiutu uzima sio zile nyuzi za sijui mna vinaniliu [emoji85] [emoji85].Naona mmeanza kutusema....!
Sisi hatutajibu. Ila tunamwachina yeye aliye juu
Hahahaaa. Ndio nini sasa Swahiba hutii hata neno?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
ha
hamueleweki mbona wa hivi wabeba mizigo wamejaa ubungo bus stand wakiwasimamisha mnakimbia eti wananuka vikwapa mmetuchosha na kutokijatambua kwenu..Mnashinda kukimbilia wenye magari leo mnasema mwataka wakata fensi na wapiga jeki ahahahhaaa mpaka mjitambue kiama kimefika
Kama nimemuelewa vizuri Mbiti anasemea wale wababa ndani ya nyumba yaani ana kazi nyingine kabisa ila kinyumbani nyumbani haitokei hata siku moja akawahi ona nyasi au fensi imekua akajiamulia kufanya kazi ya kuziweka sawa.ha
hamueleweki mbona wa hivi wabeba mizigo wamejaa ubungo bus stand wakiwasimamisha mnakimbia eti wananuka vikwapa mmetuchosha na kutokijatambua kwenu..Mnashinda kukimbilia wenye magari leo mnasema mwataka wakata fensi na wapiga jeki ahahahhaaa mpaka mjitambue kiama kimefika
Kama nimemuelewa vizuri Mbiti anasemea wale wababa ndani ya nyumba yaani ana kazi nyingine kabisa ila kinyumbani nyumbani haitokei hata siku moja akawahi ona nyasi au fensi imekua akajiamulia kufanya kazi ya kuziweka sawa.
Ni mfano ana mifugo basi akaamua hata kuiwekea nyasi kidogo.
CC MBITIYAZA uje nikosoa kama nami nimeelewa sivyo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]ewaaaaaaaaaaaaa