MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
- Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
- Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
- Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
- Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
- Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU
UNSPECIFIED
@akiliZaDesperado