Mwanaume ndo huyu

Mwanaume ndo huyu

Ukirudi nyumbani jishughulishe hata kusogeza sofa au kufuta hata vumbi kwenye tv na radio[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Khaa hivyo muhimu ati,poa ukipata nafasi walau mara mbili kwa wiki unampikia mama kayaii,unambeba juu juu kutoka sebuleni hadi chumbani.
 
we nawe!zikiitwa siri hii nayo siri !sasa kwa taarifa yako leo nlikua safarin..nikakutana na men anatoa tyre..anasweat!kaka smart !bas ikawa mada hapo sasa!usinibabaishe
Hilo neno ndugu yangu, kuna jamaa kaenda kutembelea ndugu tyre pancha hiyo mwanaume na shemela wake wakashikiana na kubadilisha jingine mambo mswano sio hapa kuna garage karibu
 
Tupo wawili tu naogopa nini kuvaa kanga hata pichu navaa tu, ili mradi chakula kiive,wengi wamama wa madela
Mpo wawili mtu unajigubika manguoa,umevaa nguo ya kitenge ina bega kama pembe za ndovu,lemba sasa kama mama wa kinaijeria kahudhuria ndoa ya mwanae
 
Alafu akiwa anafanyaa hizo kazi awe kifuaa wazi yaaaan na kajasho kwa mbaaaaali kinamtiririkaa daaaaah lazimaa umsindikize bafuni kuogaaa ukamsugue mgongo sio mwanaume kutwa nzimaa kashinda kwenye game hata nje hatoki au kutwa nzimaa anashinda jf kukosoa watu
Jf na umbea umbea [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Khaa hivyo muhimu ati,poa ukipata nafasi walau mara mbili kwa wiki unampikia mama kayaii,unambeba juu juu kutoka sebuleni hadi chumbani.
Ndiyo hivyo, Mapenzi sio mpaka usiku kitandani hapana hata ile kushinda wote nyumbani mnazunguka huku na huku mambo muluwa
 
Mpo wawili mtu unajigubika manguoa,umevaa nguo ya kitenge ina bega kama pembe za ndovu,lemba sasa kama mama wa kinaijeria kahudhuria ndoa ya mwanae
Haa haa embu ona [emoji23] [emoji23] [emoji23] tabu yote ya nini minguo nguo yote tupa huko kwani tunaenda kanisani ushamba nao mzigo nikujiachia tu
 
Haa haa embu ona [emoji23] [emoji23] [emoji23] tabu yote ya nini minguo nguo yote tupa huko kwani tunaenda kanisani ushamba nao mzigo nikujiachia tu
Hahaha ni kujiachia tu bwana afaidi kuangalia uumbaji wa Mungu,tunasisitizwa utalii wa ndani ndo huo sasa
 
Back
Top Bottom