Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Tupo wawili tu naogopa nini kuvaa kanga hata pichu navaa tu, ili mradi chakula kiive,wengi wamama wa madelaKama mpo wawili unahofia nini,mi hata bila kanga naingia jikoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wawili tu naogopa nini kuvaa kanga hata pichu navaa tu, ili mradi chakula kiive,wengi wamama wa madelaKama mpo wawili unahofia nini,mi hata bila kanga naingia jikoni
Khaa hivyo muhimu ati,poa ukipata nafasi walau mara mbili kwa wiki unampikia mama kayaii,unambeba juu juu kutoka sebuleni hadi chumbani.Ukirudi nyumbani jishughulishe hata kusogeza sofa au kufuta hata vumbi kwenye tv na radio[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hilo neno ndugu yangu, kuna jamaa kaenda kutembelea ndugu tyre pancha hiyo mwanaume na shemela wake wakashikiana na kubadilisha jingine mambo mswano sio hapa kuna garage karibuwe nawe!zikiitwa siri hii nayo siri !sasa kwa taarifa yako leo nlikua safarin..nikakutana na men anatoa tyre..anasweat!kaka smart !bas ikawa mada hapo sasa!usinibabaishe
Mpo wawili mtu unajigubika manguoa,umevaa nguo ya kitenge ina bega kama pembe za ndovu,lemba sasa kama mama wa kinaijeria kahudhuria ndoa ya mwanaeTupo wawili tu naogopa nini kuvaa kanga hata pichu navaa tu, ili mradi chakula kiive,wengi wamama wa madela
ok thanks kwa ushauri but xiwez kuacha kabisaaaa haswa kwenye baadh ya maneno ya kiswahiliUsipende kutumia x kwenye s
[emoji125] samahani lakini
Hahaha [emoji1] [emoji1] [emoji1] pukuta hata vumbi la radioNakaa chumba kimoja cha kupanga fence ya kukata itatoka wapi? Jeki labda nisaidie konda wa daladala likipata pancha!
HahahaUsipende kutumia x kwenye s
[emoji125] samahani lakini
poaz kijana/mzeeHujanielewa kijana,namaanisha huyo mtu yeye post yoyote anayopita lazima akosoe tena kwa matusi,yani anajikuta yeye ndo mkamilifu na ana akili kuliko watu wote.
Huko ulikofika mimi wala sipo huko
Jf na umbea umbea [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alafu akiwa anafanyaa hizo kazi awe kifuaa wazi yaaaan na kajasho kwa mbaaaaali kinamtiririkaa daaaaah lazimaa umsindikize bafuni kuogaaa ukamsugue mgongo sio mwanaume kutwa nzimaa kashinda kwenye game hata nje hatoki au kutwa nzimaa anashinda jf kukosoa watu
Umezoea sana kingreza si et?ok thanks kwa ushauri but xiwez kuacha kabisaaaa haswa kwenye baadh ya maneno ya kiswahili
Hahaha ni sawa tu mtu akwambie K,P,enx, hahaha jaman,hizi mambo banaHahaha
Mi mtu akiniandikia hvo huwa sjibu msg
Acha majirani wakichungulia kwa mbaliii kichwa kinavimba balaaYani ukiambiwa hivi unajikuta kichwa kimevimba mpaka kukibeba huwezi
Ndiyo hivyo, Mapenzi sio mpaka usiku kitandani hapana hata ile kushinda wote nyumbani mnazunguka huku na huku mambo muluwaKhaa hivyo muhimu ati,poa ukipata nafasi walau mara mbili kwa wiki unampikia mama kayaii,unambeba juu juu kutoka sebuleni hadi chumbani.
hapana cjui hata kingereza nipo english course mwezi wa 9 na bado cjajua ndio naanza kutumia x kwenye s ili nijue kichinaUmezoea sana kingreza si et?
Haa haa embu ona [emoji23] [emoji23] [emoji23] tabu yote ya nini minguo nguo yote tupa huko kwani tunaenda kanisani ushamba nao mzigo nikujiachia tuMpo wawili mtu unajigubika manguoa,umevaa nguo ya kitenge ina bega kama pembe za ndovu,lemba sasa kama mama wa kinaijeria kahudhuria ndoa ya mwanae
Hahaha ni kujiachia tu bwana afaidi kuangalia uumbaji wa Mungu,tunasisitizwa utalii wa ndani ndo huo sasaHaa haa embu ona [emoji23] [emoji23] [emoji23] tabu yote ya nini minguo nguo yote tupa huko kwani tunaenda kanisani ushamba nao mzigo nikujiachia tu
Ujajaza madela ndani kutwa [emoji23] [emoji23]Hahaha ni kujiachia tu bwana afaidi kuangalia uumbaji wa Mungu,tunasisitizwa utalii wa ndani ndo huo sasa