Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Ninazo japo ni 1M economyTafuta hela.
Bado ndo yupo semester ya kwanzaMke wako amesha jifungua 😎
Biashara ninayomaanisha hapa ni zile za kike kike kama saluni, vipodozi, nguo, duka la Mangi. Biashara za kiume ni hardware, mbao, glossary hizo nitasimamia miminieleweshe kwanini biashara iwe asset ya kijinga au unaongelea genge la mazaga ya jikoni?
Siyo adui yangu isipokuwa tumeagizwa tuishi nanyi kwa akiliMkeo ni Adui Yako sio? 😅
Unamuoa mtu halafu unamuogopa.
Ndo maana unaweza kuona kwa nini Makabila mengine umri wa Baba na Mama unapishana sana Ili aweze kumcontroo.
ahaa hapo sawa maan kwenye point yako sidhani kama umedadavuaBiashara ninayomaanisha hapa ni zile za kike kike kama saluni, vipodozi, nguo, duka la Mangi. Biashara za kiume ni hardware, mbao, glossary hizo nitasimamia mimi
Mbona utakuwa unateseka sana kuficha Kila kitu.Siyo adui yangu isipokuwa tumeagizwa tuishi nanyi kwa akili
Ndo hivyo mkuuUnaishi kisungura au siyo mguu kushoto kulia
Hakikisha kila anachofanya mkeo lazima ujue na ikiwezekana ukifanyie monitoring kila kinachopatikana mkuu tofauti na hapo hiyo ndoa haipoAsante kwa kutukumbusha..Eti mkuu hivi mkeo wako akianzisha mradi hutakiwi kujua hela inayoingia na kutoka? mfano, anakwambia kila mtu aishi kimpango wake, ila, mimi mambo yangu anataka kujua nikiuza nikinunua anataka kujua. Hapo kunandoa kweli. Naukitaka kujua hasira yake auze halafu umuulize umeuza sh ngapi, anakuwa mkali kama simba aliyejeruhiwa.
Atakuwa anajua nina a count NMB na CRDB ila hatajua kuna shilingi ngapi wala nywila hatajua, nikifa atakuwa msimamizi wa mirathi na atapata kila kitu, ila as long as napumua, kumpa access ya kila kitu ni kutafuta sukari, sonona, shinikizo la damu na magonjwa ya moyo 😅😅Mbona utakuwa unateseka sana kuficha Kila kitu.
Ukiumwa au ukifa ghafla wanao watateseka sana.