Mwanaume ni kichwa cha familia, usipoteze ubaba wako kwa upofu wa mapenzi

Wanawake ni miamba ya sayuni 😅😅
Kama ndo mnatuogopa hivi
 
Mambo yakija kwenda combo watoto wako watateseka sana.
Mimi kwa kweli mama watoto wangu nahakikisha nampa first priority kwenye kila kitu changu . Incase of anything asihangaike na watoto kama yatima
Kumpa kila kitu so poa mkuu jitahidi ukiwa na 1M aambulie laki 2 tu ile 8K weka ya kwako in case ukija kuishiwa wewe uwe mbele ya muda kutatua changamoto
 
Kumpa kila kitu so poa mkuu jitahidi ukiwa na 1M aambulie laki 2 tu ile 8K weka ya kwako in case ukija kuishiwa wewe uwe mbele ya muda kutatua changamoto
Hapana sio kumpa kila kitu ila hakikisha mama wa watoto wako anakuwa sehemu ya maisha yako maana watoto wako ndio ndugu zako sio unamficha kila kitu.
Kumbuka ukijifanya mjanja mali zako ukawa unaficha kwa ndugu zako siku haupo ndio watakuwa wanatumbua na hawara zao hawata kumbuka familia yako.
Hapa sizungumzii mali zako ambazo unajichumia wewe mwenyewe bila mtu yoyote kufahamu
 
Timiza wajibu wako tu mkuu ila hakikisha una vyanzo vingine ambavyo mkeo hatakiwi kujua maana ukiishiwa huyo huyo mkeo atakunyanyasa sana
 
Hawa viumbe tuishi nao kwa akili ila hatutakiwi kuwadharau hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…