Mwanaume ni kiumbe wa thamani sana! Mwanaume anayelilia mapenzi ni mpumbavu

Tundusami

Senior Member
Joined
Feb 7, 2026
Posts
116
Reaction score
270
Kuzaliwa mwanaume ni balaka kubwa sana inabidi umepewa thamani kubwa sana umepewa hazi ya kiongozi umepewa hazi ya mamlaka

Mwanaume ata akikaa siku tatu bila kuoga hanuki ila mwanamke siku 1 tu akishinda bila kuoga ni kimbembe
Mwanaume kukaa bila mwanamke anatoboa vizuri ila mwanamke hawezi ata iweje kuna majamaa ayajielewi yanalia kisa mademu

Mwanaume ni wa kipekee sana kuanzia tangu dunia inaumbwa mwanamke ni kaumbwa kwa mbavu kazaa tu za mwanaume yani ni theluthi tu
 
Mwanaume kukaa bila mwanamke anatoboa vizuri ila mwanamke hawezi ata iweje

Screenshot_20260125_162038_Google.jpg
 
Kuzaliwa mwanaume ni balaka kubwa sana inabidi umepewa thamani kubwa sana umepewa hazi ya kiongozi umepewa hazi ya mamlaka

Mwanaume ata akikaa siku tatu bila kuoga hanuki ila mwanamke siku 1 tu akishinda bila kuoga ni kimbembe
Mwanaume kukaa bila mwanamke anatoboa vizuri ila mwanamke hawezi ata iweje kuna majamaa ayajielewi yanalia kisa mademu

Mwanaume ni wa kipekee sana kuanzia tangu dunia inaumbwa mwanamke ni kaumbwa kwa mbavu kazaa tu za mwanaume yani ni theluthi tu
Kwa uandishi huu mmmh
Bora sijawa mwanaume
 
Kwanini umemrekebisha spelling kama ulikuwa umetambua kamaanisha nini

Natolea mfano wa unachokaribiana na ulichonijibu

Dose ya dawa imeandikwa 1×3, ukaenda nyumbani na dawa zako...unataka kumeza 3×1 rafiki yako anakurekebisha kwamba hizi dawa ni 1×3, sio 3×1

Utamwambia sawa nimekuelewa huku ukimeza 3×1 kama ulivyoelewa ama utabadilisha utameza 1×3?
 
Kwamba mwanaume anaweza akakaa bila kufanya mapenzi akaishi lakini mwanamke hawezi?Mmh huu utafiti umeufanyia wapi au maskani kwenu apo na masela,kwanza tuanzie hapa kesi za ubakaji(wabakaji) hua ni wanawake au wanaume?
 
😁😁
 
Back
Top Bottom