Mwanaume ni kiumbe wa thamani sana! Mwanaume anayelilia mapenzi ni mpumbavu

Balaka❎
Baraka ✔️,,,
Hazi❎
Hadhi✔️......MAISHA TUNATEGEMEANA AMINI HAKUNA BORA ZAIDI YA KINGINE...CHEZA NAFASI YAKO,,HESHIMU NA UTII NAFASI YAKO,,USICHEZE NA NAFASI ZA WENGINE/KINGINE,,HESHIMU NA UTII NAFASI ZA WENGINE/KINGINE...###LIVE LIFE YOU LOVE###
​
 
Maoni hayawezi kushtumiwa kuwa ni uongo ila na wewe unaleta Hoja zako, mmepoteza ada za wazazi wenu sasa ni ma single Maza hamna shughuli, ni hasira tu!

Mkuu,ungeachana na hoja yangu ukatoa ya kwako.....kuhusu mada husika

Kwa hiyo kwasababu wewe ni single maza una-assume sisi wote ni single maza???
Nwei, pole kwa wazazi wako kwa kuleta pimbi mmoja kama wewe uliyezalishwa na wanaume tofauti tofauti
 
Kwamba mwanaume anaweza akakaa bila kufanya mapenzi akaishi lakini mwanamke hawezi?Mmh huu utafiti umeufanyia wapi au maskani kwenu apo na masela,kwanza tuanzie hapa kesi za ubakaji(wabakaji) hua ni wanawake au wanaume?

Ameandika ukweli ambao ni vice versa 😂
 
Nje ya mada: Huwa nikitafakari kwa kina, namshukuru Mungu sana kuzaliwa Mwanaume. Najivunia tuu kuwa Mwanaume. Sina sababu ya msingi ila waga najivunia tuu.
 
Ni sawa, hata mimi najivunia kuzaliwa mwanaume

Lakini hiyo haiondowi ukweli kwamba tunategemeana

Tunakamilishana, tunahitajiana

Hakuna simba bila yanga pia hakuna yanga bila simba
 
Mleta mada nakupa hongera ila umedanganya kusema mwanaume anaweza kukaa muda mrefu bila tendo la ndoa kuzidi mwanamke, hili halipo.

Mwanamke anaweza kuvumilia hata miezi 6 ila mwanaume wiki 2 hutoboi
 
Kwahiyo kumbe hawa wanaume wanaodai wanatoboa hata mwaka wanatupanga sio?
 
Mleta mada nakupa hongera ila umedanganya kusema mwanaume anaweza kukaa muda mrefu bila tendo la ndoa kuzidi mwanamke, hili halipo.

Mwanamke anaweza kuvumilia hata miezi 6 ila mwanaume wiki 2 hutoboi
Na wewe umejuaje kama mwanamke anaweza kukaa miezi sita bila tendo?,ni nani alikwambia,au wewe ni mwanamke?
 
Kwamba mwanaume anaweza akakaa bila kufanya mapenzi akaishi lakini mwanamke hawezi?Mmh huu utafiti umeufanyia wapi au maskani kwenu apo na masela,kwanza tuanzie hapa kesi za ubakaji(wabakaji) hua ni wanawake au wanaume?
wale wa gerezan wanafanya mapenz na nani?
 
Mleta mada nakupa hongera ila umedanganya kusema mwanaume anaweza kukaa muda mrefu bila tendo la ndoa kuzidi mwanamke, hili halipo.

Mwanamke anaweza kuvumilia hata miezi 6 ila mwanaume wiki 2 hutoboi
Hamjamwelewa shida mnawaza chini tu.
 
Back
Top Bottom